kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Urusi aitie kiberit nchi mojawapo ya NATO kama alivyahaidi..,hayo mengine yote ni kutafta kichaka Cha kujificha tuWATCH AND WAIT
II BADO NI SECOND CLASS ATTACK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi aitie kiberit nchi mojawapo ya NATO kama alivyahaidi..,hayo mengine yote ni kutafta kichaka Cha kujificha tuWATCH AND WAIT
II BADO NI SECOND CLASS ATTACK
,,🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍sir if you're using chingili please let me paid for you just one cup there to amina chura mburahati . God bless you
Ninavyoona hili kombora ndio limetumika Leo Kwa mara ya kwanza na jeshi la Urusi.Mtasema wenyewe!
===
Kyiv says Russia has launched an intercontinental ballistic missile at Ukraine - it would mark the first attack from such a weapon in almost three years of war
BBC.
Huyu baladhuri Zelensky si alisema makombora yataongea yenyewe?Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!
Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'
Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.
"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.
The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".
![]()
Ukraine war latest: Trump 'hopes to announce minerals deal tonight' - after Zelenskyy's olive branch and truce talk
Donald Trump is hoping to announce an agreement with Ukraine in front of Congress tonight, according to Reuters. Earlier, Volodymyr Zelenskyy said it's "time to make things right" after his White House argument with Trump. Listen to the latest Trump 100 podcast below.news.sky.com
Ndo hapo sasa .Muulize kwanza hiyo Iran yenyewe lini imepigika!?
Huyu Pimbi si alisema kua makombora yataongea yenyewe?View attachment 3158048milio imeanza kusikika😂😂😂
Unadhani ni masihara broo!?😂😂😂😂😆😆.🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe jifariji tu kijana,wewe upo zako Tuliani hapo unakula wali na kambale wa nazi,athari hazikupati wewe bali wale walioko Eastern Europe.Aah wapi, hakuna Cha maana urusi anafanya huko,Bora hata angefanya Mass attacks kama alivofanya wiki iliyopita kwa kupiga vituo vya umeme,hiyo kidogo ingesaidia kuwapoza maumivu mashabiki wake 🏃🏃🏃
Na ana makombora yake hapo Russia anayatumia aina ya Zulfiqar,yameshamletea sana kilio Mr.Bean hadi amelia.Ndo hapo sasa .
Iran yenyewe TU imeonesha uimara wa kutosha Kila mtu kashangaa.
Wewe member hua ni mgumu sana kuelewa halafu mwepesi wa kusahau.Sasa kama Urusi inapigana na NATO kwanini isirushe jiwe kwenye kambi za NATO zilizopo ulaya ili tuamini ni vita rasmi ya Russia vs NATO, sisi tuliopo huku tusubiri hao wakubwa watakachoamua na sio kujifanya wachambuzi wa maswala ya vita, baada ya trump kuapishwa ndio tutajua muelekeo wa hii vita, huwezi sema USA imefilisika kwa kutoa silaha za misaada tuu hapo haijaingia vitani, muda utaongea mkuu tusubiri
Acha uoga wewe,hivi humu jukwaani unawezaje kujua kama mtu Fulani amekuchukulia wewe kama adui?Tatizo mtu akiandika tofauti na mawazo yenu mnamchukulia kama adui, ndiomaana mashabiki wa west wamewaacha mtambe wenyewe humu ila siokwamba hawapo
Unajibizana na huyo jamaa!?😂😂😂😂.Wewe member hua ni mgumu sana kuelewa halafu mwepesi wa kusahau.
Nimesema hivi,USA na NATO waache kuirushia mawe Urusi wakiwa nyuma ya Ukraine.
Nikaendelea kusema sio tabia ya USA na NATO kuisaidia nchi kijeshi kwa kuipa misaada bila wao kuingia mazima kama walivyofanya Iraq, Yugoslavia, Afghanistan na Libya.
Hapa nilikua nikilenga wanajifanya kumpa Ukraine silaha lakini wao ndio wanaziopareti.
Nikaongeza kusema wanapigana na Urusi kiujanjaujanja,hii sio tabia Yao na inaonekana udhaifu wao.
Nilimaanisha kua Hali hii inainyima Urusi uhalali wa kujibu mapigo moja kwa moja Kwa nchi yoyote inayorusha jiwe Urusi ikiwa nyuma ya Ukraine,sio nchi tu,hata NATO wote.
Kwa hiyo sio rahisi kwa Urusi kurusha jiwe Kwa NATO.
Ila kama unaona Urusi inaiogopa NATO basi omba Mungu NATO waingize jeshi lao kama walivyoingiza Iraq au Afghanistan au Yugoslavia halafu uone kama Urusi atajibu ama hatajibu.
Na hapo ndugu yangu wala sio majibu ya ujinga waliofanya wa kupiga ndani ya Urusi.West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Namjua sana ila Wacha nimuelimishe pengine naweza nikamkomboa.Unajibizana na huyo jamaa!?😂😂😂😂.
Huyo jamaa hadi nilimu ignore.
Yupo factless.
Makasiriko unawezaje kuyatambua kwenye maandishi ndugu?Hivi ni kwanini Pro Russia mnakuwa na makasiriko sana mnapokutana na comments zinaoishusha Russia??
Usitupangie sisi warusi wa nzegaUrusi aitie kiberit nchi mojawapo ya NATO kama alivyahaidi..,hayo mengine yote ni kutafta kichaka Cha kujificha tu