Mr RMJ
JF-Expert Member
- Jun 30, 2022
- 454
- 904
Warusi wa kakonko mna mamboMjinga pekee ndio anaweza kuwa na mawazo kama haya ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warusi wa kakonko mna mamboMjinga pekee ndio anaweza kuwa na mawazo kama haya ...
Dah mzee punguza uchochezi 😁😁Mm bdo hajanifurahisha sana....ilitakiwa atupie mawili...lingine liende pale Kiev likatandike hata wizara yyte moja....halafu akae masaa 48 ndo aje kuhutubia ulimwengu🤠🤠🤠...hayo masaa angeacha kwanza wao West na mtoto wao Ukraine wawe wanajiuliza wamepigwa na kitu gani
Na pia kwa nini hawajiulizi sababu za kuundwa kwa NATOHilo hawataki kulizungumza 🤣🤣🤣🤣
Halafu eti Wana mu- underestimat mrusi wakati Venezuela Syria Taiwan zote zipo salama kwaajili ya mabavu ya Russia, kule Venezuela ilikuwa imebaki kidogo Tu maduro atolewe madakani Kwa sababu ya figisu za usa Russia alivyopeleka sub marine zake kule usa wakaufyata , Alifanya hivyo kule Syria pia Obama akaishia kuumbuka
Kuna wakati Unabaki unaniuliza hawa watu wanao ibeza Russia Wana Akili Sawa Sawa kweli !? Isije kuwa tuna jibizana na mandondocha humu ,
Poor memeory, haka kazee ka punga sanaa🤣Huyu ni Mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo Cha Generali,anajaua maana ya vita,anajua uwezo wa kivita wa nchi yake,anajua madhara ya vita,ameona Biden kakosea kuruhusi Ukraine kutumia makombora ya Marekani kupiga ndani ya Urusi.
Hofu ya Gen huyu ni kua huenda Urusi inaweza kujibu kishenzi na ikatokea vita ya Dunia ya Tatu.
Lakini atakuja Mkaguru mmoja atakuambia Russia Hana lolote atafanya,Putin dhaifu TU.
Jamani eeeh hebu tuacheni ushabiki,Sasa hivi tuko karibu mno na vita ya nyukilia.
Retired US general calls for ‘urgent’ early removal of Biden
21 Nov, 2024
Donald Trump’s former national security advisor, Michael Flynn, wants to “stop the madness before WWIII is irreversible”
Retired US Army Lieutenant General Michael Flynn has urged Vice President Kamala Harris to invoke the 25th Amendment to prevent President Joe Biden from “sleepwalking” into a third world war after he permitted Ukraine to use ATACMS missiles to strike deep inside Russian territory.
While Washington has not officially confirmed granting such permission, the Russian Defense Ministry has said Kiev has already used the US-supplied missiles to target Russia’s Bryansk Region. Additionally, Biden this week decided to supply Ukraine with anti-personnel landmines, breaking his 2022 promise to restrict their use.
“The current House of Representatives must impeach Biden for endangering the United States,” Flynn wrote in a post on X, arguing that his former boss was impeached for much less. “Harris should immediately invoke the 25th Amendment and remove Biden – he’s sleepwalking us into WWIII. Let’s at least put constitutional pressure on Harris because Joe’s poor memory makes him unaccountable.”
Putin aliipokea Russia akiwa na machungu sana let's wait and watchMm bdo hajanifurahisha sana....ilitakiwa atupie mawili...lingine liende pale Kiev likatandike hata wizara yyte moja....halafu akae masaa 48 ndo aje kuhutubia ulimwengu🤠🤠🤠...hayo masaa angeacha kwanza wao West na mtoto wao Ukraine wawe wanajiuliza wamepigwa na kitu gani
Wanahiyo Akili ya kujiuliza sasa !!Na pia kwa nini hawajiulizi sababu za kuundwa kwa NATO
Good news.🚨🚨🚨Alert: Possible IRBM "Oreshnik" launch within the next 24hrs, after several long range strikes by NATO against Russia!!
The Missile has been deployed and the Russian military is just awaiting orders from Putin to launch!!🔥🔥🔥
Kazee kameshamaliza muda wake wa urais na muda wake wa kuishi hapa duniani kanataka watoto wetu wasione neema na tunu za Mwenyezi Mungu.Poor memeory, haka kazee ka punga sanaa🤣
Kuivamia ukraine ni ukurupukajiUko sahihi kabisa Mkuu,wala hujakosea.
Kwanza Kwa vita hii tumegundua toka mwanzo Urusi hua hakurupuki na Hana mihemko.
Siku zote imekua hivihivi baadae hapa watu watakuja na kuanza kusema Urusi kutumia nguvu kubwa mno.
Nakuhaqiqishia kwa yaqini kubwa kabisa hao vikoba watakuja na vikwazo zaidi hawana jipyaWarusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation 🇷🇺 linakuja. Save this post
Wanahiyo Akili ya kujiuliza sasa !!