LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Humu jukwaani Kuna watu wanajiona Wana akili sana kumbe watupu kabisa vichwani,
Hebu fikiria wakuu wa umoja wa kijeshi wenye nguvu kabisa hapa duniani wamekusanyana kujadili kombora moja TU lililorushwa na Urusi nchini Ukraine.
Kama wakubwa Hawa wameona hatari ya kombora hilo Leo Kuna Mtanzania mmoja TU anasema Urusi haman kitu.
Hivi sisi Watanzania tuko sawa kweli?

The powerful next-level, multiple-warhead battlefield weapon, which has been analyzed by the Pentagon, has prompted NATO to hold an emergency summit on Tuesday.
Putin's new missile leaves the whole of Europe minutes from Armageddon!!
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini Oreshnik imetingisha vichwa vya habari hivi Dunian?, maana Russia imeshawah kutumia hypersonic missiles sijui Iskander etc, kwann hili limetingisha Dunia? Kuna nn kimetokea uko Ukrain? Au ni sehemu iliyopiga ndo imekuwa gumzo? Maana hypersonic missiles imekuwa ikifyatuliwa na Russia na hakuna air defense yyte iliyokuwa inaweza kuzuia, nini asa cha upekee wa Oreshnik mpaka Dunia imekuwa gumzo, mwenye taarifa, aelezee kwa undani.
 
Oreshnik kapiga kwenye mshono wao.
Ukiona hivyo wanajiona wapo uchi na lolote linaweza kuwatokea na wasiwe na namna yoyote ya kuzuia.
Hizo hypersonic wanaweza kuzizuia ila kwa kuwa wanazo air defence zake ila Oreshnik imewatisha sana.
 
Nahisi kilichopigwa this time kimewaumiza sana. Inaweza kuwa ni silaha zao muhimu au lundo la askari muhimu. This time nato wamepigwa panapouma
 
Watu waichoelewa hicho hapo Dnipro, ni sehumu ambayo ilikuwa very strategic na Well protected, fortified na deep underground, ni sahawa na ulinzi uliopo Area 51 au kapustin yar.
Ilikuwa inahusiku na uzalishaji wa Engine za jet na makombora, pia walikuwa wanatumia kama hifadhi ya makombo, command center, coordination ya missile attack
Na inasemekama madhara ni makubwa huko chini kuliko juu, ndio maana kelele zimekuwa nyingi, bado hawaamini
 
⚡Zelensky says that NATO is not ready for a "war of attrition" with Russia since the arsenals of missiles and drones of the alliance countries are not comparable with the capabilities of the Russian military-industrial complex.

"The question is; which NATO country is ready to repel an attack by 2,000 targets today? And the trend will be toward increasing the number. Already this month, the number will reach 3,000," Zelensky said in an interview with Ukrainska Pravda.

He stressed that the "means of resistance" provided to Ukraine remain "too expensive" and their quantity is too limited. At the same time, the former commander-in-chief of the Ukrainian Armed Forces expressed the opinion that for the same reasons, "neither Britain nor other countries will be ready" for a potential confrontation with Russia.

"I have some doubts. Again, for the same reason that they are very expensive, and, as a result, it is impossible to have a lot of them because producing them is a problem. Therefore, based on this military component alone, we can say that they (NATO countries) are probably not ready," he concluded.
bado hawajasema
 
Hatari sana
Unaambiwa chuma ilikuwa imebeba vichwa sita na kila kichwa kilikuwa na watoto sita. West hapo lazima wakalishwe chini. tulikuwa tunasikia story sasa Putin katuonehsa kuwa vitu anavyo. tukumbuke oreshnik ni mdogo wake na ile chuma tuliyosikia inabeba vichwa 15 anbayo inweza samabaratisha Ulaya nzima kwa dakika 15.
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini Oreshnik imetingisha vichwa vya habari hivi Dunian?, maana Russia imeshawah kutumia hypersonic missiles sijui Iskander etc, kwann hili limetingisha Dunia? Kuna nn kimetokea uko Ukrain? Au ni sehemu iliyopiga ndo imekuwa gumzo? Maana hypersonic missiles imekuwa ikifyatuliwa na Russia na hakuna air defense yyte iliyokuwa inaweza kuzuia, nini asa cha upekee wa Oreshnik mpaka Dunia imekuwa gumzo, mwenye taarifa, aelezee kwa undani.
Ilipiga vilivyo kwenye kiwanda imara chini ya ardhi cha silaha na kulikuwa na 'vijana' nguli wa west wakifanya maandalizi ya uzalishaji wa makombora hapo mwakani.
Ukisikia Wazungu wanalia, ujue hasara na wakiokufa ni wale nguli wanaowategemea.
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini Oreshnik imetingisha vichwa vya habari hivi Dunian?, maana Russia imeshawah kutumia hypersonic missiles sijui Iskander etc, kwann hili limetingisha Dunia? Kuna nn kimetokea uko Ukrain? Au ni sehemu iliyopiga ndo imekuwa gumzo? Maana hypersonic missiles imekuwa ikifyatuliwa na Russia na hakuna air defense yyte iliyokuwa inaweza kuzuia, nini asa cha upekee wa Oreshnik mpaka Dunia imekuwa gumzo, mwenye taarifa, aelezee kwa undani.
Oreshnik imepenya kwenye bankers ambazo walikuwa wanaamini ni nulear pekee inaweza penya. kwa kifupi West wamepigwa kwenye mshono. BBC imethibitisha hilo
1732431881498.png
 
Humu jukwaani Kuna watu wanajiona Wana akili sana kumbe watupu kabisa vichwani,
Hebu fikiria wakuu wa umoja wa kijeshi wenye nguvu kabisa hapa duniani wamekusanyana kujadili kombora moja TU lililorushwa na Urusi nchini Ukraine.
Kama wakubwa Hawa wameona hatari ya kombora hilo Leo Kuna Mtanzania mmoja TU anasema Urusi haman kitu.
Hivi sisi Watanzania tuko sawa kweli?

The powerful next-level, multiple-warhead battlefield weapon, which has been analyzed by the Pentagon, has prompted NATO to hold an emergency summit on Tuesday.
Wakitoka kwenye kikao watakuja na jina lao la ilo kombora .
 
Oreshnik kapiga kwenye mshono wao.
Ukiona hivyo wanajiona wapo uchi na lolote linaweza kuwatokea na wasiwe na namna yoyote ya kuzuia.
Hizo hypersonic wanaweza kuzizuia ila kwa kuwa wanazo air defence zake ila Oreshnik imewatisha sana.
hakuna wa kuzuia hypersonic missile yeyote.Ni kama kusema unaweza kuipiga risasi kw risasi nyingine,uwezekano ni mdogo sana.Tofauti ya hypersonic nyingine kama Khinzal na hii Oreshnik ni ukubwa wake na uwezo wa kubeba vichwa vya nuklia.Oreshnik inabeba vichwa sita na kila kimoja kina mabomu sita.Hata speed ya Oreshnik iko juu kuliko ya Khinzal.Kinachotisha ni kuwa kwa speed yake inamaanisha ulaya nzima inaweza kuwa ndani ya vilio chini ya dk 20.
 
🇷🇺🇺🇦🇫🇷⚡- "We should not have any red lines when it comes to support for Ukraine," - Jean-Noel Barrot, French Foreign Minister.

🇷🇺🇺🇦🇫🇷⚡- "We do not discard any option, including sending troops in combat," Jean-Noel Barrot, French Foreign Minister.
 
🇷🇺🇺🇦⚡- "Russia only declares readiness for negotiations. While in reality it involves North Korean soldiers and hitting Ukraine with new-class missiles," Volodymyr Zelenskyi, President of Ukraine.
 
🚨🇩🇪🇷🇺GERMANY: PUTIN WANTS A NEW WORLD ORDER

German Defense Minister Boris Pistorius warns that Russia's war is no longer regional but a long-term threat to Europe.

He said Russia has shifted to a full-scale military economy, producing more weapons in 3 months than the EU manages in a year.

Pistorius claimed that failure to stop Putin could trigger invasions of Moldova, Georgia, or NATO allies in the Baltics.
 
This time nato wamepigwa panapouma
Asymmetrical retaliation!!!

Na hii ya kusema Ufaransa na wenzake wameruhusu nao makombora Yao kupiga ndani zaidi mwa Russia ni kujibaraguza tu, hawana lolote.

Halafu Putin anavyowachanganya ..anasema kwa Sasa hakuna wa kuzuia labda baada ya miaka kama miwili mitatu wanaweza....yaani anajua uwezo wao! Au ndiyo anawataka watafute mtambo wa kuzuia hili bomb kwa pupa wapoteze muda zaidi?Ha ha haaa!
 
Back
Top Bottom