manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,078
- 11,930
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NATO wengine 10000 wamechinjwa masaa mawili yaliyopitaDuh! Jamaa wanazidi kuchinjwa tu,hii ni Jana, zaidi ya elf Moja na miasaba 🏃🏃🏃🏃View attachment 3165687
WapiNATO wengine 10000 wamechinjwa masaa mawili yaliyopita
UkraineWapi
Kipanya hamaanishi wote hao Zaid ya laki 6 wamekufa bali ni jumla ya waliokufa na kujeruhiwa kiasi kwamba huwez tena kurud uwanja wa mapambano,kwenye vita mwanajeshi akipata majeraha makubwa anahesabika kama hafai tena kimatumiziHuu mgogoro umejaa sana propaganda nyingi Ukiangalia takwimu za kp kipanya44 unaweza kusema wanajeshi wameisha!
Russian opposition outlets Mediazona and BBC Russian Service reported that they have confirmed that at least 80,937 Russian soldiers have died in Ukraine since the start of Russia's full-scale invasion in February 2022.
Institute for the Study of War
This page collects ISW and CTP's updates on the conflict in Ukraine. In late February 2022, ISW began publishing daily synthetic products covering key events related to renewed Russian aggression against Ukraine.www.understandingwar.org
Militia walifanya suprise attack Syria mji wa Aleppo na kichukua baadhi ya maeneo, hao wanatokea mpakani na Turkey na qako funded western.
Nadhani western ni kuleta panick kwa Urusi ukizingatia Syria haitakiwi kutoka chini ya Sphere of influence ya kremlin
Alichofanya Mrusi muamkia jana na leo ni a very serious air attackal
Sisi Team Russia tunatakiwa kuwa tofauti na Mapanya na wenzie sasa ukianza kuandika hivi unakua kama mapanya anaekuja na maungo meeengi..Ukitoa taarifa uje na SourceNATO wengine 10000 wamechinjwa masaa mawili yaliyopita
Akae nayo tu ardhi yake mimi nikiwa kama msemaji wa warusi kanda ya jf nasema Elensky akae na ardhi yake tutaichukua wenyewe tu wala asijali kwa hilo
Bora umetupa matango pori ,tuchangamshe jukwaa mkuuJukwaa limepoa utadhani vita imesimama kumbe Ukraine wanajeshi wanakimbia Mstari wa Mbele yaani saiv ni risasi moja paaaaah mnasonga mbele KM 50 ya pili Paaah jamaa wamekimbia woote Mstari wa mbele
SemaaaaajiiiiiiAkae nayo tu ardhi yake mimi nikiwa kama msemaji wa warusi kanda ya jf nasema Elensky akae na ardhi yake tutaichukua wenyewe tu wala asijali kwa hilo
Ukweli huchelewa tu ila Jamani Russia idumuu adumuu Vladimir Putin MwambaUkweli una tabia moja ambayo ni kutofichika! Pia huwa ni mchungu!
Ukrainian soldiers 'now accept land they're fighting for might remain in Russian hands'
They said they wanted to continue fighting. But if the president said, we're going to have a ceasefire and some of the land they've been fighting over remains with the Russians, they'd accept it.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com