U.S politics zimekaa kiunafiki.
Sera ya U.S ni mimi kwanza ila kwa sura tofauti
Democratic wanafanya kwa njia ya vita, kuiba rasilimali na kuangusha wale wasiotii matakwa yao,
Republican wao wanatumia economic tools, ila main objective ni ileile katika different approach.
Kwenye hii ishu ya Ukraine kwa kile tunachokiano na kusikia kwa nje (tukiacha yale ya behind the curtain) U.S kama alikuwa na kete 3;
Sera ya U.S ni mimi kwanza ila kwa sura tofauti
Democratic wanafanya kwa njia ya vita, kuiba rasilimali na kuangusha wale wasiotii matakwa yao,
Republican wao wanatumia economic tools, ila main objective ni ileile katika different approach.
Kwenye hii ishu ya Ukraine kwa kile tunachokiano na kusikia kwa nje (tukiacha yale ya behind the curtain) U.S kama alikuwa na kete 3;
- Kuipunguza nguvu/kuidondosha Urusi bila kuingia au kutuma askari direct, ambayo hii kwa kiasi flani kama plan imeenda out of control au compiled intelligence report kuna sehem wali overlook.
- Kushusha uchumi wa ulaya ambao ulikuwa unaenda juu na wa U.S walikuwa wanakabiliwa na inflation, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa hasa wa Germany, maana viwanda vingi vikubwa vimekufa, kufungwa au kuuzwa. Pia na Ufaransa hasa kupoteza rasimali kuanzia kule west Africa. Na ulaya itaendelea kuwa tegemezi
- Rasilimali za Ukraine hasa madini na ardhi fresh ya kilima. Katika orodha ya mafini 52 yaliyo orodheshwa katika national security, 30 na yanapatika Ukraine. Baada ya kuona Urusi inasonga mbele na kuzidi kuchukua maeneo mengi yenye madini, bora watumie mazungumzo na waigawane. Ndio maana kwenye mazungumzo ya kuamua hatma ya Ukraine, sio Ukraine mwenyewe wala ulaya iliyoalikwa. Na trump nationa Security Advisor, ametoa kama onyi kwamba ni must Ukraine kulipa hizo gharama na itakuwa wise kwake kutia sahihi, nje ya hapa inamaanisha ataliwa kichwa
- Ikawa njia ya U.S na West ku buy time huku wakijipanga vita ikaanza upya, ndio maana pamoja na channel za kuanzisha makubaliano, bado huko frontline wanaendelea kukiwasha
- Kujua dhumuni halisi la marekani kwa Ukraune sio tu kumaliza vita na usimamizi wake kwa ujumla hasa huko mbeleni, sababu U.S sio trust worthy.
- Mgawanyo wa rasilimali nani achukue nini na wapi
- Hatma ya utawala wa Ukraine
- Hawakutarajia kuachwa njia panda na U.S hasa baada ya kutumiwa na uchumi kuharibika
- Maslahi yao katika Ukraine, walishaanza kujipanga kui invest na kupata rasilimali hasa lithium na madini mengine,
- Hatma yao kwenye nishati, Ukraine ndio kulikuwa na kinu kikubwa cha Nyuklia Ulaya
- kama wasilokubaliana na U.S na Urusi, jinsi gani watafufua uchumi wao uliodorora na kukubaliana na mabadiliko katima geo politcs nda ya miaka hii minne.
- Kuendelea na ishu ya Ukraine bila U.S support na wao wasikose chochote