LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
😂😂mwamba ana kwambia kama sio sisi kukupa vifaa vya kivita Vita ingeisha ndani ya week mbili, sema comedian katia aibu hadi makamu wa Rais ana kufokea
Halafu akina Kipanya wanasema Russia ameshindwa kuichukua Ukraine wakati Ukraine ilikuwa inabebwa na US, EU na mataifa mengine ya mbali!
 
Uzi umeanza Tena kutembea kwa mwendo wa Kobe baada ya trump kuonekana kupiga U-turn 🏃🏃.. kweli watanzania ni watu wa kudandia matukio
Usipotee tupe habari za front line!!! Au Sasa ndiyo mmeelewa umuhimu wa amani... U-turn ya Uingereza si ya kitoto!
===
In the immediate hours after those astonishing exchanges between Presidents Donald Trump and Volodymyr Zelensky in the White House, European leaders, one after another, offered their public support for Ukraine.

But the prime minister remained silent.

Then, as I dashed into the studio for the BBC News at Ten, my phone went.

I had been sent a statement from No 10: Sir Keir Starmer had spoken to them both and the prime minister "retains unwavering support for Ukraine and is doing all he can to find a path forward to a lasting peace
 
Ukraine ni wajinga sana,hawakuweza kusoma alama za nyakati kua utawala wa USA hubadilika Kila baada ya miaka minne?
Wao walijiona kama Jimbo la USA nje ya Amerika wakapigana na jirani Yao Kwa jasho na damu ili kuwafurahisha wamarekani.
Leo kaja rais mwingine USA Hana interest na vita hiyo.
Zelensky mara kadhaa alikua anasema nikopesheni silaha Ili nipogane na Urusi,hapa aliongea vivyo ili kuwafurahisha USA,Sasa Leo hii USA wanadai Pesa Yao anaanza kulalamika.Alipe bana.

enzi hizo anajiombea TU masilaha.

Zelenskyy urges Ukraine allies to allow long-range weapons use in Russia

Ukrainian president seeks to rally more support at meeting of key backers as the United States pledges an additional $250m in aid.


Published On 6 Sep 2024
6 Sep 2024
President Volodymyr Zelenskyy has urged his Western allies to allow Ukraine to use long-range missiles to hit targets inside Russia and increase pressure on Moscow to end the war.

“We need to have this long-range capability, not only on the divided territory of Ukraine, but also on the Russian territory, so that Russia is motivated to seek peace,” Zelenskyy said on Friday at a meeting of the Ukraine Defence Contact Group (UDCG) at Germany’s Ramstein Air Base.

“We need to make Russian cities and even Russian soldiers think about what they need: peace or [Russian President Vladimir] Putin.”
 
Hiki kijamaa ni kijinga sana,kilifikia hatua ya kukomboa nyukilia ili kiipige Urusi.
Hivi alikua anajua madhara yake?
Hiki kingepeleka Ukraine kufutwa kwenye ramani ya Dunia.

Give Ukraine nuclear weapons, says Zelenskyy.

If Ukraine isn’t granted NATO membership it will need another way to defend itself from Russia in future, said the Ukrainian president.
 
Hiki kijamaa ni kijinga sana,kilifikia hatua ya kukomboa nyukilia ili kiipige Urusi.
Hivi alikua anajua madhara yake?
Hiki kingepeleka Ukraine kufutwa kwenye ramani ya Dunia.

Give Ukraine nuclear weapons, says Zelenskyy.

If Ukraine isn’t granted NATO membership it will need another way to defend itself from Russia in future, said the Ukrainian president.
Putin anakachekea haka kanchi!

Ningekuwa mimi ningekafutilia mbali!

Potelea mbali waache watu walalamike na acha historia itakavyoamua wala sijali!

Ifike mahali uwe kama Marekani, lazima uonyeshe mfano.
 
Zelensky responds to resignation calls from pro-Kiev hawk

US Senator Lindsey Graham has called for the Ukrainian leader to be replaced with someone Washington can deal with
Zelensky responds to resignation calls from pro-Kiev hawk

Ukrainian leader Vladimir Zelensky, who has refused to hold new elections since his presidential term expired last year, has dismissed calls to step down, in an interview with Fox News following his contentious White House visit on Friday.

US President Donald Trump’s meeting with Zelensky at the White House earlier in the day escalated into a heated argument, with Trump telling Zelensky he is “in no position to dictate” and accusing him of failing to show gratitude to the American people for the aid Washington has provided to Kiev.

The spectacle led many critics to question whether Zelensky could ever regain the reputation of a reliable partner. Even the notoriously pro-Kiev US Senator Lindsey Graham, who has visited Ukraine to meet with Zelensky on multiple occasions over the years, said the Ukrainian leader has crossed a line with his behavior.

“What I saw in the Oval Office was disrespectful, and I don’t know if we can ever do business with Zelensky again,” Graham told reporters. “He either needs to resign and send somebody over that we can do business with, or he needs to change.”

“I don’t know if he will be happy after my words: This decision can do only people of Ukraine [sic],” Zelensky replied. When pressed again on whether he would resign to allow for a peace deal in the Ukraine conflict, Zelensky dismissed the idea.

“I was always ready... I’m not sure that is a good idea for such proposes [sic],” he said, adding, “Americans vote for American president... Only Ukrainians vote for their president.”

Zelensky’s five-year presidential term concluded in May 2024, but he has refused to hold new elections, citing martial law.

Trump recently labeled Zelensky a “dictator without elections” with a “4% approval rating.”

After Friday’s disastrous White House meeting, Trump told the press that he believes Zelensky is more focused on tying the US down to long-term military support for Ukraine than on achieving a peace deal.

“We’re looking for peace. We’re not looking for somebody that’s going to sign up a strong power and then not make peace because they feel emboldened,” Trump said. “We’re not looking to go into a 10-year war... This is a man that wants to get us signed up and keep fighting.”

Russian President Vladimir Putin said this week that Zelensky would stand “absolutely no chance” of winning a new election unless it was “grossly rigged.” Moscow has also stressed that any deal between Russia and Ukraine signed by Zelensky would be of questionable legal validity due to his expired presidential mandate
 
Putin anakachekea haka kanchi!

Ningekuwa mimi ningekafutilia mbali!

Potelea mbali waache watu walalamike na acha historia itakavyoamua wala sijali!

Ifike mahali uwe kama Marekani, lazima uonyeshe mfano.
Unachosema Mkuu Hammaz ni kweli Kuna watu au vi nchi vinakera,lkn nahisi ni undugu TU baina ya watu wa Urusi na ukraine ndio umeepusha haya maaangamizi.
Sio wewe TU unaona hivyo,
Kuna mijitu huko Moscow ilikua inampa Presha Putin achukue maamuzi kama Yako, nadhani nafasi ikawa inamsuta kuua halaiki ya watu Kwa mara moja sio jambo Dogo.
Kuna Li Bunge limoja huko Urusi liliwahi kumwambia Putin apige makombora kwenye makambi ya NATO huko Ulaya kwa sababu ndio wanampa kiburi Ukraine.
Sasa hebu fikiria jitu kama hilo ndio lingekua li Rais la Urusi.
Watu wengi humu walikua wanabisha kua Urusi inaidekeza Ukraine lakini Trump kapasua jipu kama tulivyokua tunawaambia kua Urusi inaipiga Ukraine Kwa huruma,ingeamua siku nyingi Kiev ingeshapotea,na Jana kasema bila wao USA siku nyingi Ukraine ingeshaangukia mikononi mwa Urusi.
 
Unachosema Mkuu Hammaz ni kweli Kuna watu au vi nchi vinakera,lkn nahisi ni undugu TU baina ya watu wa Urusi na ukraine ndio umeepusha haya maaangamizi.
Sio wewe TU unaona hivyo,
Kuna mijitu huko Moscow ilikua inampa Presha Putin achukue maamuzi kama Yako, nadhani nafasi ikawa inamsuta kuua halaiki ya watu Kwa mara moja sio jambo Dogo.
Kuna Li Bunge limoja huko Urusi liliwahi kumwambia Putin apige makombora kwenye makambi ya NATO huko Ulaya kwa sababu ndio wanampa kiburi Ukraine.
Sasa hebu fikiria jitu kama hilo ndio lingekua li Rais la Urusi.
Watu wengi humu walikua wanabisha kua Urusi inaidekeza Ukraine lakini Trump kapasua jipu kama tulivyokua tunawaambia kua Urusi inaipiga Ukraine Kwa huruma,ingeamua siku nyingi Kiev ingeshapotea,na Jana kasema bila wao USA siku nyingi Ukraine ingeshaangukia mikononi mwa Urusi.
Kuna limoja huko huko MOSCOW lilishauri SOYUZ ijazwe milipuko ya kutosha ishushwe hapo KIEV
 
JD ni mchonganishi sana, ukiangalia kiundani yeye ndo kama amesababisha hii vita ya leo, Trump kama alikua na staha fulani ya kiutu uzima ila Vance alikua anajitahidi sana kumchokonoa Zelensky mpaka nae busara ikamshinda akaamua kuanza kuropoka, na upande wa pili alijua kabisa kuna vitu akiongea lazima mashetani ya bosi wake yapande.

Unaweza sema walipanga makusudi kuionesha dunia Zelensky ni mtu wa aina gani make kete zilikua zinasukumwa kwa akili nyingi si mchezo.
Sio unaweza kusema !! Hilo lipo wazi walikuwa wamepanga 🤣🤣🤣
Maana alikuwa ana mchochea kwa dunia kwa kumwambia unaweza kusababisha vita ya dunia --- yaani ili watu wamuone mbaya . Bad enough alisema tumeamua kuwa live kila muamerca aone 🤣🤣
 
What happened in the Oval Office is unprecedented.

Zelenskyy is in major trouble now.

Trump hapendi kabisa kujibiwa kihivyo hususan na mtu ambaye anategemea msaada wake.

Ndo ubaya wa kuwa tegemezi huo.

Putin huko aliko anasugua mikono kama Birdman 🤣.
🤣🤣🤣 kwani simlikuwa mnaiona russia kama kadude tu kumbe nilidubwasha likubwa lakutisha
 
Back
Top Bottom