LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huyu mwamba ndio alichora mchongo wa kupita kwenye Bomba kuwasambaratisha ma LGBTQ huko Kursk🇷🇺🇷🇺🇷🇺🙌🙌
20250310_160626.jpg
 
Huyu mwamba ndio alichora mchongo wa kupita kwenye Bomba kuwasambaratisha ma LGBTQ huko Kursk🇷🇺🇷🇺🇷🇺🙌🙌
View attachment 3265660
Huyu Mwamba Alaudinov ni Afisa wa Jeshi la Chechnya. Alikuwa amestaafu, baada ya kuanza kwa SMO aliitwa haraka sana. Hasa kwa ajili ya kuwaondoa Ukraine katika eneo la Kursk. Yeye ndiye Kamanda wa Kikosi cha Wachechnya (Akhmat) kinachohusika na zoezi la kuwang'oa Waukraine huko Kursk.
 

Propaganda hazipigani vita shekhe 🏃 🤩 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍

 
🇺🇦🇸🇦 President Volodymyr #Zelensky on Monday arrived in the Saudi Arabian city of Jeddah for critical talks on #Ukraine.

🇺🇸 The US expects substantial progress in Ukraine talks this week and hopes that a deal on critical minerals can be signed, President Donald #Trump’s Mideast envoy Steve Witkoff said on Monday.

Follow along on our #liveblog 🔗 https://go.france24.com/kdA

📸 Ukrainian Presidential Press Office via AP
 
French Defense Minister Sébastien Lecornu announced plans to use interest generated from frozen Russian assets to fund a €195 million military aid package for Ukraine.

In an interview with La Tribune Dimanche, Lecornu stated that this amount will allow for the delivery of 155mm shells and AASM bombs, which are used by Ukraine’s Mirage 2000 fighter jets.

He also mentioned efforts to speed up the transfer of older military equipment to Ukraine, including AMX-10RC tanks and VAB armored personnel carriers.
 
The situation along Ukraine's northern Sumy region border with Russia's Kursk region remains under the control of the Ukrainian Defense Forces, according to Commander-in-Chief of the Ukrainian Armed Forces Oleksandr Syrskyi.
 

===================

Tujikumbushe...." Why Putin Invaded Ukraine?
Gagnija TUJITEGEMEE
Hao wapuuzi wanasema wa-Ukraine kama 70,000 wameuawa kwenye hii vita wakati warusi waliouawa ni zaidi ya laki mbili, unaweza kuwaamini hawa matapeli.

Propaganda na ulaghai mwingi, no wonder Trump is ditching them.
 
🇺🇸🇺🇦 The US did not restrict access to intelligence that Ukraine needs for defense

👆 This information was voiced by Trump's special representative for the Middle East, Steve Witkoff.

🔹He also noted that the US expects significant progress in negotiations with Ukraine this week. Witkoff noted that during the meeting of US and Ukrainian representatives, security protocols for Ukrainians and territorial issues will be on the negotiating table.

🔹He also hopes that President Zelensky will return to the US to sign the minerals agreement this week. According to him, "all the signs are very, very positive."
 
Bulgaria's recently adopted defense strategy identifies Russia as a significant threat to national security, and NATO and the European Union – as key guarantors of the nation’s interests.
 
Russian invasion forces are suffering heavy losses in Donbas, largely due to the high effectiveness of Ukrainian drones.
 
The situation along Ukraine's northern Sumy region border with Russia's Kursk region remains under the control of the Ukrainian Defense Forces, according to Commander-in-Chief of the Ukrainian Armed Forces Oleksandr Syrskyi.
😂😂😂😂 Ebu acha kutuchekesha.yani Kurks inamalizika wew unatuletea habari gani.propaganda haiwezi kushinda vita
 
Huyu Mwamba Alaudinov ni Afisa wa Jeshi la Chechnya. Alikuwa amestaafu, baada ya kuanza kwa SMO aliitwa haraka sana. Hasa kwa ajili ya kuwaondoa Ukraine katika eneo la Kursk. Yeye ndiye Kamanda wa Kikosi cha Wachechnya kinachohusika na zoezi la kuwang'oa Waukraine huko Kursk.
Wachechnya wana balaa sana.... nadhani wameacha kutembea na 'vilainishi' sababu ya 'mfungo' 😎 Otherwise wangesafisha 'mitaro' ya LGBTQ+
 
Back
Top Bottom