TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokea vita kati yao ni ngumu, sababu kwa sasa U.S anataka kupambana na china kiuchumi.Kwa haya makubaliano ya US na Ukraine,vita huenda ikawa kati ya US🇺🇲 na URUSI🇷🇺
Hii taarifa inaitaji uwe na angalau C3, ndio uielewe.US resumes intelligence and military aid to Ukraine
Support was unblocked after Kiev agreed to Washington’s idea for an “immediate” 30-day ceasefire with Russia
Bangi mbichi.Hii umekosea au umedhamiria?
Kumbe Kwenye hii vita U.S inatoa military aid kwa Russia?
Safi sana Zelensky,sio Kila siku watu wako wanauwawa unaishia kulaani.
Mashambulizi ndani ya Russia tena Moscow ndio yatawalazimisha Kukaa mezani.
Inatakiwa uandae mashambulizi kama haya kwenye Miji 5 Kwa mpigi watu wafe ndio Putin atapiea pressure na watu wake vita itaisha 👇👇
View: https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1899418390176891191?t=QOFSyVy5P0wgiIE3se3jbA&s=19
Pamoja na uelewa wako kichapo kimaendelea.Yaani wewe huna uelewa wa siasa za ndani (kitaifa) mpaka na za nje (kimataifa).
Hii ni ajabu kubwa.
Ukiwa unafanya jitihada ya kutafuta elimu omba upatiwe na ufahamu wa hiyo elimu pia.Pamoja na uelewa wako kichapo kimaendelea.
US na Russia lao moja, subiri uone Zele atakavoingizwa kingiKwa haya makubaliano ya US na Ukraine,vita huenda ikawa kati ya US🇺🇲 na URUSI🇷🇺
Urussi na USA wamesha kubaliana kwa siri .....marekani asinge taka huo mkataba uku anajua kuwa ukrain yote itaanguka mikononi mwa urusi hivyo marekani na urusi wamukubaliana kugawana nyara..na kumwondoa Zelensky madarakani wakiwa na mkataba tayariKwa haya makubaliano ya US na Ukraine,vita huenda ikawa kati ya US🇺🇲 na URUSI🇷🇺
The proposal, apart from rare minerals, includes a clause forcing Zelensky to immediately hold elections or opt to step down. Have you heard that?BREAKING: Ukraine has agreed to accept a US proposal for an immediate 30-day ceasefire and to take steps toward restoring a durable peace after Russia's invasion, according to a joint US-Ukraine statement. Follow live updates:
Utamfanya Kirat atumua mbio.The proposal, apart from rare minerals, includes a clause forcing Zelensky to immediately hold elections or opt to step down. Have you heard that?
Kipanya kaleta habari ya drone 337 kudunguliwa katika mikoa 10 tofauti. Wewe unasema 74 tuamini lipi?.Kuhusu nini? Au kuna tatizo juu ya nilichomueleza mdau?
And Russia won't accept⚡US National Security Advisor Waltz:
We will speak to the Russians in the coming days.
And US & Ukraine know it.And Russia won't accept