Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Hii ishu ya Kursk kama kuna something fishy,
Aidha U.S alijua mapema kuwa Urusi wamedhamiria kurudisha eneo lao kwa gharama yoyote na hakuna namna ya kuzuia, ili kuficha aibu wakapata njia ya kuweka masharti magumu kwenye resource deal akateae alafu wakae pembeni hadi Urusi atakapomaliza operation yake
U.S walijua Ukraine atakataa masharti ya rasilimali, ila atakimbilia Ulaya, sasa wakaamua wamuonyeshe bila wao Ulaya hawana uwezo wa kumsaidia
Tatu ni kuwa labda U.S na Urusi walishakubaliana nyuma ya pazia.
Maana siku mbili tatu hizi ni kama Ulaya wamepiga kimya
Update:
Mazee wa SVR Sergei Naryshkin na wa CIA John Ratcliffe wamewasiliana kwa simu. Ile red line imefunguliwa na wamejadili mambo mengi likiwemo hilo na regrouping na rearming.
Wamekubaliana ushirikiano ( wa kijasusi) urejeshwe na kuheshimiana kurejeshwe baina ya vyombo hivyo muhimu Duniani.
Pia Naryshkin kamwambia Ratcliffe kwamba Russia waona kila kinoendelea pale Poland kuhusiana na mzigo unoingia kutoka Marekani.