LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hii ishu ya Kursk kama kuna something fishy,
Aidha U.S alijua mapema kuwa Urusi wamedhamiria kurudisha eneo lao kwa gharama yoyote na hakuna namna ya kuzuia, ili kuficha aibu wakapata njia ya kuweka masharti magumu kwenye resource deal akateae alafu wakae pembeni hadi Urusi atakapomaliza operation yake

U.S walijua Ukraine atakataa masharti ya rasilimali, ila atakimbilia Ulaya, sasa wakaamua wamuonyeshe bila wao Ulaya hawana uwezo wa kumsaidia
Tatu ni kuwa labda U.S na Urusi walishakubaliana nyuma ya pazia.
Maana siku mbili tatu hizi ni kama Ulaya wamepiga kimya

Update:

Mazee wa SVR Sergei Naryshkin na wa CIA John Ratcliffe wamewasiliana kwa simu. Ile red line imefunguliwa na wamejadili mambo mengi likiwemo hilo na regrouping na rearming.

Wamekubaliana ushirikiano ( wa kijasusi) urejeshwe na kuheshimiana kurejeshwe baina ya vyombo hivyo muhimu Duniani.

Pia Naryshkin kamwambia Ratcliffe kwamba Russia waona kila kinoendelea pale Poland kuhusiana na mzigo unoingia kutoka Marekani.
 
Lakini mara ya kwanza Zere alipo goma kusaini mkataba si mlijazana humu kumsifu kuwa ni mwanaume hawezi kuuza nchi yake sasa hivi imekuwaje tena?
Kweli ww ni kipanya.
Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
 
Kwani before exchange Ukraine alikuwa ana advance huko frontline!?
Kumbuka Moja ya malengo ya hii vita ni kimpigisha urusi dandana mpaka ateme bung'o., marekani apoondoka Vietnam au huko Afghanistan na kwingineko,sio kwamba alikuwa hasongi mbele,bali ghalama ya vita haikuingia akilini na alichokipata.,hata urusi USSR huko Afghanistan hakufukuzwa bali hakupenda kupoteza ghalama sana kwenye vita hambayo wenye nchi hawako tayari kurudi nyuma
 
Kipanya kaleta habari ya drone 337 kudunguliwa katika mikoa 10 tofauti. Wewe unasema 74 tuamini lip
Umeelewa nilichojibu ama umekimbilia kucomment. Drone jumla zilikuwa hizo 337 kwenye mikoa tofauti tofauti Ila zilizodunguliwa kabla ya kuingia Moscow zilikuwa 74. Hata taarifa ya Russia imeeleza hivyo.
 
U.S. aerospace company Maxar Technologies has restored Ukraine's access to the Global Enhanced GEOINT Delivery (GEGD) service, allowing Kyiv to utilize high-resolution commercial satellite imagery again, Ukrainian media outlet Militarnyi reported on March 12, citing users of the service.
 
Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
Security guarantee aliyohakikishiwa ni ipi Zaidi ya kuambiwa kuwa atarudishiwa msaada aliokuwa amekatiwa?
 
Tulsi Gabbard, the U.S. director of national intelligence, confirmed on March 12 that the U.S. had resumed sharing intelligence with Ukraine per President Donald Trump's direction.
 
➡️The transport of U.S. weapons to Ukraine via the Poland hub has resumed, says Polish Deputy Defense Minister Zalewski
 
Transportation of American weapons to Ukraine from the hub in Poland in Jasionka has resumed, Polish Deputy Defense Minister said.
 
Umeelewa nilichojibu ama umekimbilia kucomment. Drone jumla zilikuwa hizo 337 kwenye mikoa tofauti tofauti Ila zilizodunguliwa kabla ya kuingia Moscow zilikuwa 74. Hata taarifa ya Russia imeeleza hivyo.
Wewe ndie ambae huelewi, Taarifa ya Kipanya inasema zimenduguliwa 337 source ni DW aliyoleta. 74 kuelekea Moscow, na zilizopiga 300. Sasa nakuuliza hio majuzo zilirushwa zaidi ya drone 700 ndani ya siku Moja?.
 
Kumbuka Moja ya malengo ya hii vita ni kimpigisha urusi dandana mpaka ateme bung'o., marekani apoondoka Vietnam au huko Afghanistan na kwingineko,sio kwamba alikuwa hasongi mbele,bali ghalama ya vita haikuingia akilini na alichokipata.,hata urusi USSR huko Afghanistan hakufukuzwa bali hakupenda kupoteza ghalama sana kwenye vita hambayo wenye nchi hawako tayari kurudi nyuma
Gharama ya nini wakati kule kina migodi kama yote.umesahau ilo
 
Zelensinky akusaini mara ya kwanza kwa sababu hakupata security guarantee..,mara hii amesaini kwa sababu marekani imemuhakikishia usalama pasina shaka kwenye maeneo yaliyopo hayo madini😎
Ukraine hawajasaini chochote bado, isipokuwa wamekubali mapendekezo yalotengenezwa na Marekani (draft proposal).

Kutokana na kukubali huko Ukraine wamerejeshewa uwezo wa kutumia mitambo ya satellite na GPS kwani moja ya sababu za kupiga zile drones juzi zilikwenda randomly hivyo kusema hakukuwa na guidance ya intelligence na GPS ndo maana drones zikapiga makazi ya watu badala ya military targets.

Sasa kwa kuwa Ukraine kakubali mapendekezo hayo, kinosubiriwa na mazee wa Trump kukwea pia kushuka Moscow (yasemwa watatua leo) na kuwasilisha mapendekezo hayo na hapo ndo Rubio kasema mpira upo upande wa Russia.

Hivyo tutarajie Russia kuja na jibu lolote kutokana na watavyosoma hiyo “ceasefire proposal”.

Kremlin wametoa tamko kwamba hawatasema chochote kwa sasa mpaka pale watapoiona proposal, kwa mujibu wa Peskov, msemaji wa Kremlin.

Putin keshaagiza mazee wake wakiongozwa na supremo Sergei Lavrov, wapitie hiyo proposal lakini wazingatie malengo ya SMO na masharti ya Russia kusimamisha pamoja na maslahi ya Shirikisho la Russia.
 
Wewe ndie ambae huelewi, Taarifa ya Kipanya inasema zimenduguliwa 337 source ni DW aliyoleta. 74 kuelekea Moscow, na zilizopiga 300. Sasa nakuuliza hio majuzo zilirushwa zaidi ya drone 700 ndani ya siku Moja?.
Mkubwa naona wewe ni mbishi, baki na ubishi wako
 
Russian troops 'sucessfully advancing' in Kursk​

Russian troops are successfully advancing in Russia's western Kursk region and recapturing villages from Ukrainian forces.

Wednesday 12 March 2025 11:40, UK

Ukraine from the hub
“It’s an indication that they want to raise the stakes and they are preparing something to pressure the Donald Trump administration back into some aggressive action against Russia,” Lavrov said. Moscow will not compromise on “the fate of the Russian people,” he added, referring to Russian citizens and ethnic Russians in Ukraine.
 
Back
Top Bottom