SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Huawei wanajitahidi sana kwa sasa products ziko vizuri sana level za kina Qualcomm wakati walianza na products kama za tecno mtk
Tecno wakiacha ujinga watafika level hizi pia
Walisha acha ujinga, nowadays simu zote zinazotoka za huawei ni kali level za kimataifa.
 
Sana Asee hao folks wana nia ya kuteka soko na iyo harmony os yao...wachina wanajiamini sana
 
FB_IMG_16112516760610109.jpg
 
Sana Asee hao folks wana nia ya kuteka soko na iyo harmony os yao...wachina wanajiamini sana
Huawei wanaongoza kwa kuwa na simu ambazo zinaweza kuwa customized kupitia ile android-based custom user interface ya EMUI, Unaweza ukabadili almost kila kitu kwenye UI bila kuhangaika na mambo ya ku root simu. Naisubiri sana Harmony OS japo haitakuwa imebadilika sana kwasababu ni Android based platform. Ila faida yake ni kuwa fast, running accrocs devices na friendly user interface. Hapo wamecheza karata ya ushindi.
 
Wacha tuone lakini hii vita ya kuipindua android si ya mchezo labda watumie strategy za ios alieamua kuwa unique kwa kila kitu
Naskia p50 zishatoka na hormony
 
Chukua samsung s series ni flagship ambayo itakuwa kwenye chart kiteknolojia for many years to come
nazipenda redmi mkuu niko na note 5 nakula raha na nzuri ni chinese version asikwambie mtu ila nlitaka ku upgrade mpaka note 8 due to storage issues hi iko na 4/64gb note 8 ina 6/128gb that is the issue kuna data nakosa wapi niziweke bad enough mega wamenipa 40 days nsipolipia plan yoyote naloose data
ishu tu naona price ya note 8 imechangamka kidgo
 
Wacha tuone lakini hii vita ya kuipindua android si ya mchezo labda watumie strategy za ios alieamua kuwa unique kwa kila kitu
Naskia p50 zishatoka na hormony
Ile Harmony os au Hong Meng(kwa China) Ni OS ambayo iko based on Android.Uzuri wake itakuwa ina run accrocs devices na inasemekana iko faster kuliko Android ya Google. Kinachokosekana pale ni Google apps. Lakini watumiaji wanaweza kupata apps za Google pia.
 
The HarmonyOS 2.0 beta launched on 16 December 2020 supports the Huawei P40, Huawei P40 Pro, Huawei Mate 30, Huawei Mate 30 Pro, and Huawei MatePad Pro. While the beta fully supports Android apps,

Source :Wikipedia
 
Yeah inatumia micro kernel,hii wanawapa advantage google Android maana issue kubwa ni kumiliki platform ya apps na si OS Tofauti sababu ni ngumu sana kuwashawishi developers kuanza development za apps kwaajili ya platform mpya
Ndio maana wameona kwenda na option hii kitu ambacho tayari kinaexist
 
The HarmonyOS 2.0 beta launched on 16 December 2020 supports the Huawei P40, Huawei P40 Pro, Huawei Mate 30, Huawei Mate 30 Pro, and Huawei MatePad Pro. While the beta fully supports Android apps,

Source :Wikipedia
Hii ni vita ya Huawei vs ios,naskia ios zimeanza kupigwa discount kwasababu ya panic
Hapa google yuko pembeni anatazama uku anakula porp corn
 
Back
Top Bottom