Ni kweli mkuu,na the reason behind ni varying hardware specifications across izi
Simu.
ROM zinahitaji kuwa modified ku include respective hardware drivers za iyo simu ili kila functionality ya simu husika iweze kufanya kazi vizuri.
na developer wengi wa izi custom ROM wapo nje ya Afrika ivo wamebase na brand kubwa kama samsung,google pixel,nexus n.k.
ukipata au kwa maarifa kidogo ukitengeneza maalum au kumodify existing custom ROM kwa ajili ya simu yako utafurahi sana ni very stable ata kuliko stock ya manufacturer.
unakuta mtu ana flash custom ROM ya Samsung kweny tecno lazima iwe unstable na asipokuwa na bahati simu ina brick kabisa.