- Thread starter
- #141
Imetulia sana,Samsung zinaongoza kwa kua na muonekano mzuri[emoji1690]View attachment 1660404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetulia sana,Samsung zinaongoza kwa kua na muonekano mzuri[emoji1690]View attachment 1660404
Kibongo bongo kwenye technology za internet bado sana inakua taratibu,kwa sasa asilimia kubwa wako 3G na wanatoka taratibu pia ukiangalia mitambo mingi ya kampuni za simu zimewekwa kiubaguzi kuna mahali hamna 2G tu,kuna mahali 3G tu, sehemu chache 4G...baada ya miaka mitano au kumi mbele ndipo wengi watakua 4G na mitambo itakua sehemu nyingi kama 3G.Nimepitia home screen za wadau baadhi yao internet inasoma Edge yaani kialama cha E kipo juu ya screen, wengine ma experts kabisa nimeshangaa sana.
Asee umejitahd kukapanga
Xiaomi ni nzuri lakini wanafeli mwonekano, ukiangalia kwa haraka ni kama wa InfinixKitu Xiaomi [emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1661723
Very simple![emoji106]Asee umejitahd kukapanga
Izi ios tatizo sio flexible kweny customization kama android, lakin mwonekano umetulia kwa mtu asiependa mambo mengi
Tatizo sio customizable ni very complicated ukilinganisha na androidJuzi nimeweka 14.3 ipo cool sana
Sio kwamba baadhi yetu uelewa mdogo simu inasoma 2G unabaki kulalamika mtandao flani wa simu upo slow kumbe ndivyo ulivyoicomand simu yako Kwa kuweka option ya 2G badala ya 3G na wengine huweka simu zao zichague automaticKibongo bongo kwenye technology za internet bado sana inakua taratibu,kwa sasa asilimia kubwa wako 3G na wanatoka taratibu pia ukiangalia mitambo mingi ya kampuni za simu zimewekwa kiubaguzi kuna mahali hamna 2G tu,kuna mahali 3G tu, sehemu chache 4G...baada ya miaka mitano au kumi mbele ndipo wengi watakua 4G na mitambo itakua sehemu nyingi kama 3G.
Swala la kuforce ikae 3G kama uko maeneo ya mjini sawa, lakini kama unazunguka kuna maeneo hayana minara ya 3G au coverage iko chini sana kiasi kwamba simu itasumbua sana na kupelekea kusoma emergency calls.Sio kwamba baadhi yetu uelewa mdogo simu inasoma 2G unabaki kulalamika mtandao flani wa simu upon slow kumbe ndivyo ulivyoicomand simu yako Kwa kuweka option ya 2G badala ya 3G na wengine huweka simu zao zichague automatic
Kulingana na mazingira yetu simu huona urahisi kukimbilia 2G kwani 4G huona kama mlima in mrefu kuupanda
Ata wewe upewe option ya kupanda au kushuka utachagua kushuka tu
Jailbreak your iPhone utapata feature zote unazotakaTatizo sio customizable ni very complicated ukilinganisha na android
Mkuu features nazoweza pata nikiunlock bootloader na kuroot Android, jailbreaking haifikii kabisa mfano kama kubadili OS na kernel tweaks.Jailbreak your iPhone utapata feature zote unazotaka
Badili lock na unlockscreen sound ziwe computerized kama mfumo wa JARVIS ziendane na iyo wallpaperinfinix smart5 lock screenView attachment 1662982
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu model gani hii
Umeongea vizuri sana mkuu, and for real even uki jailbreak ios huwez fikia features za ku root and kuweka custom rom ya android but most custom rom hazina stabilityMkuu features nazoweza pata nikiunlock bootloader na kuroot Android, jailbreaking haifikii kabisa mfano kama kubadili OS na kernel tweaks.
Android kuna uhuru limit pekee ni maarifa yako.
sio lazima ungojee Devs kujailbreak firmware mpya kama ilivyo kwa ios.
kingine jailbreaking inatumia vulnerability kama malware zinavyofanya ndio maana apple wako fast kuzipatch.
kiuhalisia iPhone si za customization huwezi pata kile android inachoweza kuoffer once umekua SuperSU.
Ni kweli mkuu,na the reason behind ni varying hardware specifications across iziUmeongea vizuri sana mkuu, and for real even uki jailbreak ios huwez fikia features za ku root and kuweka custom rom ya android but most custom rom hazina stability