SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Kuna kitu nataka nikwambie, ni kwamba katika ulimwengu huu kila mtu/nchi ina uwezo katika jambo fulani. Kwahiyo Wachina ni wazuri sana kutengeneza hardware kutokana na rasilimali walizonazo na ndio maana utaona kwa asilimia kubwa soko la simu nyingi zenye ubora na mvuto kwa watumiaji duniani zinatoka China. Huawei, Oneplus, Vivo, Xiaomi, Oppo, Lenovo, Meizu, Coolpad, ZTE, hizo zote zinachangia mauzo makubwa sana katika soko la simu duniani.
 
Achana na fake products, hizo zipo lakini wana bidhaa nzuri tu. Kwa mtu mjanja hawezi kununua bidhaa fake. Tuzungumze kuhusu real.
 

Attachments

  • Screenshot_20220609-151013_One UI Home.jpg
    672.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220609-151027_One UI Home.jpg
    103.5 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…