Hazikuweza kufaulu lkn inaonesha jinsi gani walivyokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuleta mapinduzi makubwa ktk ulimwengu wa teknolojia. Mchina hana hata OS yake mpaka sasa hata OS ya computer hana. Anasubiri watu waumize kichwa, yeye acopy tu.
Hiyo OS ya mchina, mtasema ameleta mapinduzi ktk ulimwengu wa teknolojia?
Mbona iPhone yupo na OS yake na hana mpango na android na kila siku anatoa simu mpya na kali.
Mchina ameshazoea vitu vya kucopy na hana uwezo wa kutengeneza OS yake. Hiyo android anaongeza ongeza baadhi ya vitu halafu anadanganya watu ametengeneza OS mpya.