escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
dk nazo hata hazikimbii kabisa. DaahDak 55.. Yange keshalamba 3 bila
Koko vipiHahaha, poleni sana ndugu zangu yanga,
SijuiKoko vipi
Kila lakheri timu yangu yanga
I have a dream.
ni kipigo cha mbwa kokoHahaha, poleni sana ndugu zangu yanga,
Labda kima wa taifaHawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa ππππ
Acha ujinga.....badala ya kutuuliza tufanyeje wawakilishi wetu wametuangusha. Unaanza kukenua meno kama mwehu. StupidYoung Africa Sports Club hii ni aibu kubwa sana mchezo dhidi ya USM Alger,
Magoli ni 4-0,
Ball possession 76% kwa 24%,
Shots on target 9 kwa 1,
Shots off target 8 kwa 2 na
Total passes 750 kwa 232
Nani amewaloga?