Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

Hahaha, poleni sana ndugu zangu yanga,
 
Team wachezaji hawajalipwa salary wanashindaje ninarudia kwenye kundi la yanga hawezi shinda hata mechi moja muda utasema
 
Mituringa fc mmejitahd mmeupigwa mwingi leo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] maana nlihesabu kuanzia mkono!!!

Hatimaye jina labadirika toka 3 mzuka kwenda Yanga mzuka.
 
Hawa Ndiyo Huwaaminisha WASHABIKI WAO Kuwa eti Wao Ni Wakimataifa 😀😀😀😀
 
Young Africa Sports Club hii ni aibu kubwa sana mchezo dhidi ya USM Alger,

Magoli ni 4-0,
Ball possession 76% kwa 24%,
Shots on target 9 kwa 1,
Shots off target 8 kwa 2 na
Total passes 750 kwa 232

Nani amewaloga?
 
Yanga.png
 
Young Africa Sports Club hii ni aibu kubwa sana mchezo dhidi ya USM Alger,

Magoli ni 4-0,
Ball possession 76% kwa 24%,
Shots on target 9 kwa 1,
Shots off target 8 kwa 2 na
Total passes 750 kwa 232

Nani amewaloga?
Acha ujinga.....badala ya kutuuliza tufanyeje wawakilishi wetu wametuangusha. Unaanza kukenua meno kama mwehu. Stupid
 
ila jamani soka letu badp lipo chini sana ona warabu walivyokuwa wanacheza unaona kbsa kuna kitu wanakitafuta tofauti na yanga ambao walikuwa wanakimbia kimbia uwanjani km watoto wa bata yaan bila malengo!!

na leo tumeshuhudia jinsi wachezaji wazawa viwango vyao vilivyo vidogo wakina chirwa umuhimu wao umeonekana
 
Back
Top Bottom