Mpira ni akili kama ilivyo akili ya kuwa daktari au engineer. Ukiongea watu hawakuelewi but that is the reality. Wachezaji wetu hawana akili ya darasani wala ya mpirani. Yote haya ni zao la elimu yetu mbovu. Isiyofikirisha, isiyochunguzisha, isiyoibusha vipaji na umahiri. Elimu yetu haijengi akili. Imekaa kukata na kupaste tu na kucopy copy, kufanya mitihani na kusubiri ajira zisizokuwepo. This country is doomed. Shida unayoiona uwanjani ndio shida ipo kila sector. Tunatia huruma.ila jamani soka letu badp lipo chini sana ona warabu walivyokuwa wanacheza unaona kbsa kuna kitu wanakitafuta tofauti na yanga ambao walikuwa wanakimbia kimbia uwanjani km watoto wa bata yaan bila malengo!!
na leo tumeshuhudia jinsi wachezaji wazawa viwango vyao vilivyo vidogo wakina chirwa umuhimu wao umeonekana