Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

ila tushukuru kwa kila jambo
 
Young Africa Sports Club hii ni aibu kubwa sana mchezo dhidi ya USM Alger,

Magoli ni 4-0,
Ball possession 76% kwa 24%,
Shots on target 9 kwa 1,
Shots off target 8 kwa 2 na
Total passes 750 kwa 232

Nani amewaloga?
kichwa Kama parachichi
 
Hakuna kitu Mtanzania anachoweza. Ukiondoa mambo ya umbaji wa MUNGU, Hivi Tanzania inatambulikaje nje ya mipaka yetu?
 
Halafu unaambiwa kuwa mzalendo penda vya ndani.
Wakati kutwa TBS nawaona kwenye TV wakiteketeza vitu vibovu.
Wanangu wa Madrid piga keleleee.
 
Hivi yanga wananembo ya ubora kweli kutoka TBS?
Kwann wakitua tu airport mamlaka isiwakamate na kuiteketeza?
 
Young Africa Sports Club hii ni aibu kubwa sana mchezo dhidi ya USM Alger,

Magoli ni 4-0,
Ball possession 76% kwa 24%,
Shots on target 9 kwa 1,
Shots off target 8 kwa 2 na
Total passes 750 kwa 232

Nani amewaloga?
Tusiwalaumu ,Yanga walikuwa wanacheza na Wazungu leo
 
4 tu, mbona Brazil alipigwa saba nunge nyumbani kwao?
Uwanja wao, mashabiki wao?
Ila huwezi kuifananisha na Yanga. Brazil hata ikifungwa magoli 70 bado huiwezi kuifananisha na Yanga. Tukubali tu kuwa bado hatujafikia huko na Watz wengi wanapenda kujifariji na kujifananisha na timu zingine zilizofungwa ambapo kimsingi ni kosa kubwa sana kujifunza kwa waliofungwa ndiyo maana kila tukicheza na mechi za nje tunafungwa.
"mbona Saudia Arabia ilifungwa 7-0 na ujerumani'' Hebu jiulize hivi sisi Tanzania tumecheza hata kombe la Africa? Hata leo ukiulizwa lini mtacheza kombe la dunia? Hujui
Ifika mahala tuone aibu, tuwekeze kwenye soka.
Raha ya mpira nikiona timu yako ya taifa au klabu ya nyumbani inapata ushindi na kuchukua kombe
 
kichwa Kama parachichi
Ifike mahala tuone aibu. Kuwa na hasira kutukana n.k hakusaidii kbsa. Inakuwaje sisi tuwe watu wa kufungwa tu? Inakuwaje ligi ya nyumbani timu inafanya vizuri lkn nje inafungwa? Hebu jiulize ligi ya hapa nyumbani kuna timu inaweza kuifunga Yanga 4-0? Km hakuna huko nje vipi? Ukitaka kufanikiwa jifunze kwa waliofanikiwa,
 
Acha ujinga.....badala ya kutuuliza tufanyeje wawakilishi wetu wametuangusha. Unaanza kukenua meno kama mwehu. Stupid
Palipo na ukweli lazima pazungumzwe. Kuna wakati inafika mpaka mwenyew unaona aibu kuwa mshabiki wa timu fulani. Tuache mzaha kwenye soka, tucheze mpira wa ushindi. Kwa matokeo hayo ni aibu sana.
Utasema mbona Arsenal inafungwa lkn huwezi kuilinganisha Arsenal na Yanga hata miaka ijayo 100. Mwingine atasema mbona Brazil ilifungwa? Hapa ni sawa na kumliganisha Messi na Boko na ukafikiri wote wanacheza sawa,
Soka letu bado sana, tunahitaji tujifue na tuwe na shule nyingi za watu wenye vipaji vya mpira.
Lini tutacheza kombe la dunia? Kwann unaona haiwezekani?
 
Raha ya milele uwape wa "Kimataifa" ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wastarehe kwa amani mitaa ya Jangwani. Amina. Manji, rudi baba. Timu inaenda motoni!!!
 
Ulitegemea nini timu haina robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza?Yondan, Tshimbi, Ajibu, Ngoma, Chirwa, Tambwe,
 
Lekebisha hapo juu andika wamepigwa kipigo cha mbwa koko
 
Vyura FC kupigwa arbaa ni hatari kwa usalama hapo Bondeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…