Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
ila tushukuru kwa kila jamboila jamani soka letu badp lipo chini sana ona warabu walivyokuwa wanacheza unaona kbsa kuna kitu wanakitafuta tofauti na yanga ambao walikuwa wanakimbia kimbia uwanjani km watoto wa bata yaan bila malengo!!
na leo tumeshuhudia jinsi wachezaji wazawa viwango vyao vilivyo vidogo wakina chirwa umuhimu wao umeonekana