Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

Hakuna kitu Mtanzania anachoweza. Ukiondoa mambo ya umbaji wa MUNGU, Hivi Tanzania inatambulikaje nje ya mipaka yetu?
Acha dharau zako ww ntakuchapa ohoo!!!
Tanzania inatambulika kama nchi ya kwanza Africa masharik na kat kwa kuwa na vijana makini kwenye usafirishaji Wa madawa ya kulevya
 
Acha dharau zako ww ntakuchapa ohoo!!!
Tanzania inatambulika kama nchi ya kwanza Africa masharik na kat kwa kuwa na vijana makini kwenye usafirishaji Wa madawa ya kulevya
Umeenda mbaliii. Eeeeh!
 
Wamecheza juzi tuu na Simba mzigo wamepata kidogo viongozi wameukumbatia utadhani wao ndio wanacheza wachezaji wanaocheza wanataabika kupata haki yako huyo Katibu Wa Yanga ndio chanzo kikuu cha ubovu wa Yanga hana mipango yoyote..Timu imeingia hatua hiyo hawajafanya mpango wa kusajili mchezaji yeyote wakati wapinzani wameongeza wachezaji kutoka katika Timu zilizotolewa,wengi wa wachezaji Wa yanga ni kwa mashindano ya ndani sio nje..TFF nao wanashindwa kuwakumbusha kama wasimamizi wa soka Tanzania wao wapo kimya tuu utadhani wanasimamia riadha...wekeni mikakati sio kila mwaka ni 3 au 4 kutoka kwa waarabu...
 
Nilipata bahati ya kuangalia ile mechi japo sio dakika zote 90 kitu nilichoona wale jamaa wanashangalia game toka dakika ya kwanza mpaka 90 ni kelele tu wana support team yako 100%. sisi katika hilo bado sana kwetu tunainuka team ikifunga goal au mtu kapiga chenga. Tujifunze kufanya viwanja vyetu vya nyumbani silaha yetu. Mimi ni Simba lakini nilikuwa nachungulia game
 
Yanga wamepata stahili yao,hivi kama uongozi wa yanga hauwalipi wachezaji unadhani wanapata wapi morali ya kufanya vzr?na nyota wao wengi hawakuwepo.wazee wa kimataifa
 
Ulitegemea nini timu haina robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza?Yondan, Tshimbi, Ajibu, Ngoma, Chirwa, Tambwe,
Hata wangekuwepo wasinge badili hayo matokeo mmealiaibisha taifa.
 
Huo ndiyo mpira....We ukijiandaa mwenzako naye anajiandaaa......mpira ni kuzidiana mbinu na kuwaiana

Ova
 
Kiujumla soka la Tanzania ni Upumbavu Mtupu...
 
Ulitegemea nini timu haina robo tatu ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza?Yondan, Tshimbi, Ajibu, Ngoma, Chirwa, Tambwe,
Walikuwa wapi? Au wao sio wa "kimataifa"?
 
Lilipo ingia la 3
Kwanza Niliona napoteza usingizi wangu burebure
Najisikiaga Amani Simba wakienda nje walau kidogo hatupati Aibu kama hii
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 768745
nyie Clouds ndio maana Wasafi TV wanakuja kuwashikisha adabu ..anafungwa Liverpool, PSG etc hizo goli uandishi kanjanja..Juventus anapigwa fainali 4 na Madrid acheni use#5nge..mnabania kupiga nyimbo kibwege Wasafi wanapiga nyimbo za King kiba rival?...vijana wamewachoka your days are numbered mark my words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…