Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Acha dharau zako ww ntakuchapa ohoo!!!Hakuna kitu Mtanzania anachoweza. Ukiondoa mambo ya umbaji wa MUNGU, Hivi Tanzania inatambulikaje nje ya mipaka yetu?
Tanzania inatambulika kama nchi ya kwanza Africa masharik na kat kwa kuwa na vijana makini kwenye usafirishaji Wa madawa ya kulevya