mbona unanilisha maneno hivi Kuna sehemu hapo nimefurahia kufungwa goli 4. Soma kwa makini comment kabla hujamquote mtuHizo kauli zako ndizo huwa zisitaki kbsa hata kuziona. Unafurahia kufungwa 4-0? Yanga unaweza kuilinganisha na Brazil? Hata kea miaka 100 huwezu kuilinganisha. Mgomo kwa wachezaji kwasabb hawajalipwa huu ni upuuzi sitaki hata kuisikia. Si waache kucheza kwann Yanga ndiyo timu pekee? Wafrika tunasafari ndefu sana ktk uwanjwa soka.
Kuna wakati huwa naona ni upuuzi tu kushabikia hizi timu za nyumbani. Unafungwa 4-0 bila unajisifu?
Shubamit
Mpira ni akili kama ilivyo akili ya kuwa daktari au engineer. Ukiongea watu hawakuelewi but that is the reality. Wachezaji wetu hawana akili ya darasani wala ya mpirani. Yote haya ni zao la elimu yetu mbovu. Isiyofikirisha, isiyochunguzisha, isiyoibusha vipaji na umahiri. Elimu yetu haijengi akili. Imekaa kukata na kupaste tu na kucopy copy, kufanya mitihani na kusubiri ajira zisizokuwepo. This country is doomed. Shida unayoiona uwanjani ndio shida ipo kila sector. Tunatia huruma.
Mt Kilimanjaro, Serengeti na vingine.Mkuu hebu fafanua kidogo kuhusu "Mambo ya umbaji wa Mungu"
Muulize msemaji wenu yanga! Alivyopiga kauli ya Manara ya kuweka utaifa mbele mlifurahi sana, na kusema wanasimba tunataka kujificha kwenye kivuli chenu,Acha ujinga.....badala ya kutuuliza tufanyeje wawakilishi wetu wametuangusha. Unaanza kukenua meno kama mwehu. Stupid
Povu la nini mkuunyie Clouds ndio maana Wasafi TV wanakuja kuwashikisha adabu ..anafungwa Liverpool, PSG etc hizo goli uandishi kanjanja..Juventus anapigwa fainali 4 na Madrid acheni use#5nge..mnabania kupiga nyimbo kibwege Wasafi wanapiga nyimbo za King kiba rival?...vijana wamewachoka your days are numbered mark my words
Umeongea point mkuu,Tatizo ya timu zetu wanaangia katika mashindano bila ya malengo na mtarajio.
Uwezi shindana bila ya matayarisho una bajeti ya mashindano.
Yanga hadi kufikia hapo aikuwa matarajio yao imekuja kama bahati tu.
Na viongozu kusema ukweli kwao ni mwiko ni Uongo kwa kwenda mbele.
Hii timu inamilikiwa na wanachama kama kuna tataizo mnarudi kwa wenye kumiliki timu na kuwaeleza wao kama waajiliwa waone hao wanaomiliki timu watachukua uwamuzi gani?
Lakini wao viongozi wanaona kama ndio watawala na wanamaamuzi ya kila kitu.
Poor mchezo wa mpira katika nchi hii
Poor uongozi wa Yanga
Poor wanachama wa YANGA