Speculation zimekua ni nyingi sana, taarifa rasmi itolewe kuondoa taharuki

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Mama Tanzania

Wanao tuna piga ramli nyingi sana. Tangu amekuja DP World, speculation ni nyingi sana.

Hakika, hii inatokana na ombwe la taarifa rasmi au mapungufu au ukinzani katika taarifa zisizo toshelevu.

Wajibu wa viongozi ni kuondoa ombwe, kuondoa mkanganyiko na kuwapa taarifa rasmi wananchi ili kuondoa taharuki.

Mtu kama mimi nisiye na taarifa rasmi ukiniuliza hii habari nitakujibu kama pornographic movies enthusiasts na nitakuambia DP World means double penetration world

Hadithi ni nyingi muda ni mfupi.

Hivyo basi, Serekali inapaswa kutimiza wajibu wake, toeni taarifa rasmi toshelevu, acheni kuleta taharuki.
 
wanatoa wapi taarifa mkuu, umeona jana bi mkora kule bungeni katoa pooovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa wanahabari eti atawachukulia hatua, hivi hawa jamaa wanaona watanzania ni wehu ama? kwanza jiulize kati ya kuku na yai nini kinaanza, yaani mbarawa kashatia wino yeye na genge lake then mnaambiwa eti mkataba umepelekwa bungeni kwa maoni SERIOUSLY? mwaka huu mtajua kama hamjui nawaambia. huwezi kupeleka bungeni ishu ambayo tayari mbarawa kashasaini yeye na genge lake kwa muongozo wa Hangaya NEVER.
 
Mkuu kuna vitu serkali inapaswa iwaeleze wananchi ili waelewe
 
Hakuna taarifa itakayotewa

Kutapangwa tukio moja tu kubwa litalowatoa watu kwenye reli na kuhamishia mjadala huko, wao yao yanaendelea.

Usistaajabu Diamond akafanya mapenzi stejini, wabongo kuendekeza udaku attention itahamia huko, tukija kutahamaki bandari inafukizwa udi.

Mungu ajaalie watengeneze tukio la kawaida maana hawashindwi hata kutengeneza ajali itakayoua watu ili focus ya wananchi ibadilike tu.
 
Hapana wamefanya Ujinga kwa kiwango cha juu mno sitegemei Wananchi kuhamishwa kirahisi hivyo...
 
Ndugu taarifa gani rasmi wewe unaitaka??

Ukirudi nyumbani jaribu kufuatilia TV yako vizuri

Mimi Jana nimeona TV stations mbili kwa mida tofauti tofauti, kuna session guest wanaelezea umuhimu na faida ya DP world Ku invest katika bandari ya dar es salaam

Unahisi hao watu wamejiendea tu kwenye hivyo vituo vya televisheni na kuanza kutoa elimu tena live Pasi ya kuwa ya kwamba lisemwalo lipo??? Au muongozo wamepewa??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hakuna taarifa itakayotewa

Kutapangwa tukio moja tu kubwa litalowatoa watu kwenye reli na kuhamishia mjadala huko, wao yao yanaendelea.

Usistaajabu Diamond akafanya mapenzi stejini, wabongo kuendekeza udaku attention itahamia huko, tukija kutahamaki bandari inafukizwa udi.

Mungu ajaalie watengeneze tukio la kawaida maana hawashindwi hata kutengeneza ajali itakayoua watu ili focus ya wananchi ibadilike tu.
Mama ni mtu makini, taarifa itatolewa na pengine atalihutubia taifa
 
Mama Tanzania

Wanao tuna piga ramli nyingi sana. Tangu amekuja DP World, speculation ni nyingi sana.

Hakika, hii inatokana na ombwe la taarifa rasmi au mapungufu au ukinzani katika taarifa zisizo toshelevu.

Wajibu wa viongozi ni kuondoa ombwe, kuondoa mkanganyiko na kuwapa taarifa rasmi wananchi ili kuondoa taharuki.

Mtu kama mimi nisiye na taarifa rasmi ukiniuliza hii habari nitakujibu kama pornographic movies enthusiasts na nitakuambia DP World means double penetration world

Serekali inapaswa kutimiza wajibu wake, toeni taarifa rasmi toshelevu, acheni kuleta taharuki.
Chukua hii itakusaidia mengi kwenye kupata mwanga wa hii kadhia

Hapa kuna orodha ya kesi 20 za hivi punde dhidi ya DP World katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi:

1. DP World v. Kenya (2022). Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID) kwa sasa kinasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Kenya. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). ICSID pia kwa sasa inasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Ethiopia. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Djibouti. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Djibouti.

4. DP World dhidi ya Pakistan (2020). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Pakistan. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Pakistan.

5. DP World v. India (2019). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya India. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na India.

6. DP World v. Argentina (2018). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Argentina. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Chile. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya ardhi na Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Uruguay. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Peru. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya mali na Peru.

10. DP World v. Brazili (2014). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Brazil. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Brazili.

Ni muhimu kutambua kwamba hizi ni baadhi tu ya kesi nyingi ambazo DP World imehusika nazo. DP World ni mhusika mkuu katika sekta ya bandari ya kimataifa, na imehusika katika migogoro kadhaa na serikali duniani kote. . Mizozo hii mara nyingi imekuwa ngumu na imehusisha wadau muhimu wa kifedha.

Kesi zilizoorodheshwa hapo juu bado zinaendelea, na bado haijabainika jinsi zitakavyotatuliwa. Hata hivyo, yanatoa mwanga wa changamoto ambazo DP World inakabiliana nayo inapofanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu taarifa gani rasmi wewe unaitaka??

Ukirudi nyumbani jaribu kufuatilia TV yako vizuri

Mimi Jana nimeona TV stations mbili kwa mida tofauti tofauti, kuna session guest wanaelezea umuhimu na faida ya DP world Ku invest katika bandari ya dar es salaam

Unahisi hao watu wamejiendea tu kwenye hivyo vituo vya televisheni na kuanza kutoa elimu tena live Pasi ya kuwa ya kwamba lisemwalo lipo??? Au muongozo wamepewa??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu hizo zote ni speculation, taarifa rasmi kutoka kwa mtaarifu mkuu wa umma, pengine from the madam President
 
Chukua hii itakusaidia mengi kwenye kupata mwanga wa hii kadhia

Hapa kuna orodha ya kesi 20 za hivi punde dhidi ya DP World katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi:

1. DP World v. Kenya (2022). Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID) kwa sasa kinasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Kenya. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). ICSID pia kwa sasa inasikiliza kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Ethiopia. DP World inatafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Djibouti. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Djibouti.

4. DP World dhidi ya Pakistan (2020). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Pakistan. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Pakistan.

5. DP World v. India (2019). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya India. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na India.

6. DP World v. Argentina (2018). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Argentina. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Chile. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya ardhi na Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Uruguay. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Peru. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kuipokonya mali na Peru.

10. DP World v. Brazili (2014). ICSID ilitupilia mbali kesi iliyoletwa na DP World dhidi ya Brazil. DP World ilikuwa ikitafuta fidia kwa madai ya kukiuka mkataba na kunyang'anywa mali na Brazili.

Ni muhimu kutambua kwamba hizi ni baadhi tu ya kesi nyingi ambazo DP World imehusika nazo. DP World ni mhusika mkuu katika sekta ya bandari ya kimataifa, na imehusika katika migogoro kadhaa na serikali duniani kote. . Mizozo hii mara nyingi imekuwa ngumu na imehusisha wadau muhimu wa kifedha.

Kesi zilizoorodheshwa hapo juu bado zinaendelea, na bado haijabainika jinsi zitakavyotatuliwa. Hata hivyo, yanatoa mwanga wa changamoto ambazo DP World inakabiliana nayo inapofanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakiri kupokea
 
Hakuna taarifa itakayotewa

Kutapangwa tukio moja tu kubwa litalowatoa watu kwenye reli na kuhamishia mjadala huko, wao yao yanaendelea.

Usistaajabu Diamond akafanya mapenzi stejini, wabongo kuendekeza udaku attention itahamia huko, tukija kutahamaki bandari inafukizwa udi.

Mungu ajaalie watengeneze tukio la kawaida maana hawashindwi hata kutengeneza ajali itakayoua watu ili focus ya wananchi ibadilike tu.
Very point🪓🪓🪓

Pumzika Magufuli🙏
 
....Inashangaza na Kusikitisha mno Kwa WANANCHI MILIONI 60 SISI TUNASHINDWA KUKIDHIBITI HIKI KIKUNDI CHA WAHUNI WASIOFIKA HATA MILIONI MOJA KINACHOTUPEKESHA NA KUTUGEUZA KINAVYOTAKA!

WATANZANIA TUAMKE! TUIKOMBOE NCHI YETU. TUINGIE BARABARANI TUANDAMANE, WASIPOSALIMU AMRI TUINGIE MSITUNI.

NDIVYO WENGINE WALIVYOFANYA WALIPOCHOKA. TUIFIE TANZANIA YETU. HATUNA KWINGINE. [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Mkuu usiwe kama mgeni wa hii nchi.

Tanzania tunaendeshwa mno na mihemko ya mitandaoni.
Mkuu si nawasikiliza wakina Msukuma wakiongea madudu Bungeni kuhusu hiyo Kampuni na pia hao jamaa waliwahi omba kwenye Tenda za Transnet SA ili wapewe Durban na Eastern Cape hawakupata na karibu kampuni zote zilikosa zilichambuliwa na zipo kampuni nne ambazo moja ndio itapewa kazi...
 
Mbarawa ni Mzenji, Samia ni mzenji! Sifa ya wazenji ni uvivu na ufisadi.

Nchi yenye watu chini ya milioni 2, inashindwa vipi kujitosheleza kwa kila kitu?

Bado kidogo tu, mtasema lugha moja, Jiwe ni jiwe la pembeni.
 
Back
Top Bottom