Mama Tanzania
Wanao tuna piga ramli nyingi sana. Tangu amekuja DP World, speculation ni nyingi sana.
Hakika, hii inatokana na ombwe la taarifa rasmi au mapungufu au ukinzani katika taarifa zisizo toshelevu.
Wajibu wa viongozi ni kuondoa ombwe, kuondoa mkanganyiko na kuwapa taarifa rasmi wananchi ili kuondoa taharuki.
Mtu kama mimi nisiye na taarifa rasmi ukiniuliza hii habari nitakujibu kama pornographic movies enthusiasts na nitakuambia DP World means double penetration world
Hadithi ni nyingi muda ni mfupi.
Hivyo basi, Serekali inapaswa kutimiza wajibu wake, toeni taarifa rasmi toshelevu, acheni kuleta taharuki.