Speculation zimekua ni nyingi sana, taarifa rasmi itolewe kuondoa taharuki

Kwahiyo, zile tetesi za "wamepewa nyumba na mmoja amepewa LC series", huyo mmoja ndio Msukuma?
 
Na hz speculations zinakuja kutokana na hicho wenyewe mnakiita 'freedom of speech'. Jpm alifanya vizuri sana kuzuia hv vidomodomo......vinapotosha mno sababu hata jinga jinga tu lililoathiriwa kiakili katika malezi yake ya kiitikadi huko alikotokea anaweza kuja hapa jf na kuanzisha thread inayohusu bandari na kutupia uharo wake wooote.

Uhuru wa habari, ktk maendeleo ya taifa changa kama hili, una hasara kuliko faida. Huo unafaa ktk nchi za dunia ya kwanza ambako watu hawazungumzii kujenga barabara tena au reli au shule au mahospitali au maji; hivyo vilishakamilika na sasa wanatafura ladha zingine tu kama kuoana jinsia moja n.k.

Naunga mkono hoja, serikali itoe tu ufafanuzi......naamini itatoa wanasubiri tu mapovu yoote yaishe kwanza. Si unajua watu walivyolikurupukia suala la hili ili kujipatia umaarufu. Basi ni technique nzuri kuwasubiri wamalize maneno yao yote kabla ya kuwaambia ukweli. Kuna jamaa nasikia amesema hauna kikomo mkataba....yaani wa milele; hv kuna kitu kama hicho?!!!! Basi inasubiri tu wamalize wao kwanza na sio kwamba hawaoni.
 
Mbarawa ni Mzenji, Samia ni mzenji! Sifa ya wazenji ni uvivu na ufisadi.

Nchi yenye watu chini ya milioni 2, inashindwa vipi kujitosheleza kwa kila kitu?

Bado kidogo tu, mtasema lugha moja, Jiwe ni jiwe la pembeni.
Ndo hoja mlizobaki nazo; wamewahi kukuomba chalula mkuu?!!!!
 
Freedom of speech is guaranteed, but not after speech?
 
Wasiwasi ni akili.

Kelele zote hizo unadhani ni kweli watu hawana taarifa sahihi?
 
Nauliza kwanini muwekezaji ameteuliwa kama MBUNGE WA VITI MAALUN?

Kwanini tenda haikutangazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…