Speed 50km/h na speed 80km/h na upana wa Barbara zetu ni tumepitwa na wakati

Speed 50km/h na speed 80km/h na upana wa Barbara zetu ni tumepitwa na wakati

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
904
Reaction score
2,987
Suala la speed limit Tanzania lina miaka mingi na experience yangu speed limit ipo karibu Kila nchi, na hata upana wa Barbara zetu zinazojengwa tanzania bado ukitazama vyema ni kama zimepitwa na wakati .

Mfano nafananisha Zimbabwe na Tanzania kwenye haya mambo, eneo ambalo unatumia dkk 30 zimbambwe , tanzania una dakika hamsini hadi lisaa, zimbabwe unachapa scania hadi 80 eneo la mjini na mashambani unaweza ukaipiga hadi 100 , ukingalia magari yaliyotengenzwa sasa unaona Yana speed kubwa na yanakubali .

Upana wa Barabara Zimbabwe ni pana kidogo na Hilo linaruhusu ,sasa sisi barabara ya mwaka 2026 inajengwa sawa na ile iliyojengwa 1994 je hili mamlaka hawaoni

tukiangila chanzo cha hii speed limit 50 na 80 kipindi hii kanuni imetungwa ilikuwa ni kumlinda mtumiaji wà barabara zidi ya ajali mbaay.na sasa kanuni inalindwa kwa kisingizio cha ajali na kweli speed kubwa ni chanzo cha ajali , lakini ajali zetu nyingi Tanzania sababu kubwa ni Barbara kuwa nyembamba, je mamlaka hawaoni haya , why sheria zetu zisibadilike
Suala la speed limit Tanzania yaani traffic unajificha na torch polini halafu unajitokeza barabrani kuniomba rushwa , kwa nini traffic wa torch wasikae mjini ambako ndiko kuna watu wengi na hata ikitokea ajali mazara yake yanakuwa makubwa,

Ni kweli zipo nchi very strict Kwa Sheria zao lakini bado wanaruhusu speed kubwa , wale mliopita humu Zambia, congo, Rwanda, Zimbabwe ,south Africa mtakuwa nA hoja
 
Na hizo speed limits haziyahusu magari ya serikali.
Sijakuelewa , kwamba wao wakipiga speed kubwa wanaruhusiwa au unasema hizi fujo za madereva wa serikali kuendesha vile wanataka kwa kisingizio kuwa wao ndio serikali, ukiangalia gari nyingi za serikali zimekaa kihatari sana
 
Back
Top Bottom