Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

Inasemekana ila sina uhakika(nachukulia kama tetesi), kuna dereva aliniambia kwamba vigamuzi vimesitishwa, wenye mabasi walifungua shauli kuwa vigamuzi vinal
eta shot kwenye mabasi yao, hasa vikipiga kelele kwa muda mrefu vinaheat mwishoe vinaungua. Sina uhakika ila ndio nimesikia hivyo ndio maan siku hizi mabasi yanakimbia sana na kufika mapema.
 

Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…