Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

[emoji3], basi niseme tunaojielewa.
Ila Sauli inajaza hata siku 3 Mbele sababu ya Kujali muda kumbuka.
Mimi nagombana na wewe hapo kwenye muda tu..

Leo nimefika crdb saa 2 wakufungua saa 2 na nusu kufika ndani hamna teller robo saa,teller anakuja anachat kuandaa makaratasi robo saa,anaingia na kutoka tu...ngoja niishie hapa

Ila saul hilo gari sio lakawaida watakua wanahonga sana maana ukimfuata tu utachezea tochi 20
 
Ohooo, Nimekupata Mkuu.
Ni kweli Ngozi Nyeusi Changamoto saana.
 
Mimi nagombana na wewe hapo kwenye muda tu..

Leo nimefika crdb saa 2 wakufungua saa 2 na nusu kufika ndani hamna teller robo saa,teller anakuja anachat kuandaa makaratasi robo saa,anaingia na kutoka tu...ngoja niishie hapa

Ila saul hilo gari sio lakawaida watakua wanahonga sana maana ukimfuata tu utachezea tochi 20
Kwenye muda mwafrika bado sana, nahisi ndio mana tulikuwa wa mwisho kuumbwa
 
Kwasasa hakuna basi linalotembea zaidi ya speed 85k/h sasa ujanja ni kuwa na engine yenye nguvu yenye kuweza kutembea speed 85 muda wote wa safari
 
Nakuja kusema tu scania iheshimiwe..
Wazee wa kupita na matuta halafu abiria tumetulia nywii siti za nyuma hatuhisi kitu...tanakatisha mitaa ya iringa huko

Sauli hoyee nimeivulia kofia ile ndege
Wanajua kucheza na matuta
 
Pia kuna hizi golden deer za tunduma namba DPK naona huwa wanashindana na huyo sauli
 
Acha uongo we jamaa! Scania huwa hazifi.. ni kubadilisha oil tu basi.[emoji28][emoji28][emoji28]
Kila siku zipo njiani zimeharibika.
Muda huu nakwambia Moja ipo Igawa pale imekufa.

Mara Halali, Mara kule Simambwe.
Gari Mbovu zile.
 
Nakuja kusema tu scania iheshimiwe..
Wazee wa kupita na matuta halafu abiria tumetulia nywii siti za nyuma hatuhisi kitu...tanakatisha mitaa ya iringa huko

Sauli hoyee nimeivulia kofia ile ndege
Wanajua kucheza na matuta
Matuta kwenye hiyo njia yana migongo mipana kiasi ambacho hata bus likifunika, abiria hampati usumbufu!
 
Back
Top Bottom