Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

Sauli kwa Dar to Mbeya na Dar to Tunduma mbeya to dar kwa sasa ndie anayeshikilia rekodi ya kuwahi kufika japo figisu figisu hazikosekani
 
sauli kwa dar to mbeya na dar to tunduma mbeya to dar kwa sasa ndie anayeshikilia rekodi ya kuwahi kufika japo figisu figisu hazikosekani

Nafikiri Sauli ana lengo lingine zaid ya biashara anatumia gharama kubwa mradi tu bus lake likae mbele kila siku
 

Wadau salaam kwenu,

Kwa sasa bus la Sauli ndio linaweza kuwa bas linalokimbia sana barabarani (dhania) kwa Tanzania.

Nnafikir na Mfalme Zakaria wa Mwanza Musoma hatoshi, naona tunaanza taratibu kurudi kwa kina Leina tours, City boy na Kisbo kwa njia ya Kahama Dar, Buffalo na Ngorika enzi zile.

Swali langu vidhibiti mwendo Sauli hana au nini? Naamini ana gari mpya kabisa na ni Scania but speed alizonazo huwa zinaogopesha kiasi.

Mimi nimepanda mara chache tu, watu wa Moro wanaiita ndege ya chini, kama ambavyo wale wa Mwanza na Kahama tulizoea kuyaita mabasi ya Allys miaka ya 2007 na kuendelea maana Kahama - Dar saa 1 ulikuwa unaikuta Masbine pale Oilcom inapumua toka Kahama na Dar saa 2 tu mnaingia.

Sina chuki na kampuni hii lakina usalama wa abiria wenzangu ndio unanisukuma kutaka kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ajali yoyote umeisikia inahusisha SAULI?
 
Sauli Kwenye Kutunza Muda wale ni habari nyingine.
Na kiujumla Watanzania Wengi wanapenda Kwenda na Muda mzuri na Ndiyo maana Sauli hawanaga biashara mbaya ya Abiria. Tatizo ni Serikali.
 
pia kumbukeni u special mwingine wa sauli luxury,anajali muda,sehemu ya kufunguka anafunguka haswa maana ana mfumo wa buster hivyo rasta au humps kwake sio tabu kufukia,bado ana madereva ambao ni wazoefu na wapo makini mno.. huja jumlisha uwezo na perfomance ya bus lenyewe hapo (mashine .. scania sasa utalinganisha vipi na yutong au zhongtong jamani.. plz hebu tuwe serious kidogo))
 
Sauli Kwenye Kutunza Muda wale ni habari nyingine.
Na kiujumla Watanzania Wengi wanapenda Kwenda na Muda mzuri na Ndiyo maana Sauli hawanaga biashara mbaya ya Abiria. Tatizo ni Serikali.
Sauli ana basi mbili za dar mbeya na mbeya dar na ukichelewa siku moja zote zimejaa.
Wanatunza sana muda. Morogoro dk 3 wamechomoka...
 
KUTOKA DAR MPAKA MBEYA
LOC: UYOLE JUNCTION
REP: DR MANYOTA

1. SAULI LUXURY BUS 18:34
2.

RIZIKI HAUWEZI KUIZIBA ILA UTAICHELEWESHA TU[emoji120]
 
Back
Top Bottom