mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 340
- 487
Sauli kwa Dar to Mbeya na Dar to Tunduma mbeya to dar kwa sasa ndie anayeshikilia rekodi ya kuwahi kufika japo figisu figisu hazikosekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sauli kwa dar to mbeya na dar to tunduma mbeya to dar kwa sasa ndie anayeshikilia rekodi ya kuwahi kufika japo figisu figisu hazikosekani
Kumbukeni zile ni scania gemilang.. sio michina ile
Dereva lazima nae awe na akili ya kigemilang, unaweza ukawa na gemilang ila mentality ya yutong.Kwaiyo njia ya mbeya gemilang anazo yeye tu
Kuna ajali yoyote umeisikia inahusisha SAULI?
Wadau salaam kwenu,
Kwa sasa bus la Sauli ndio linaweza kuwa bas linalokimbia sana barabarani (dhania) kwa Tanzania.
Nnafikir na Mfalme Zakaria wa Mwanza Musoma hatoshi, naona tunaanza taratibu kurudi kwa kina Leina tours, City boy na Kisbo kwa njia ya Kahama Dar, Buffalo na Ngorika enzi zile.
Swali langu vidhibiti mwendo Sauli hana au nini? Naamini ana gari mpya kabisa na ni Scania but speed alizonazo huwa zinaogopesha kiasi.
Mimi nimepanda mara chache tu, watu wa Moro wanaiita ndege ya chini, kama ambavyo wale wa Mwanza na Kahama tulizoea kuyaita mabasi ya Allys miaka ya 2007 na kuendelea maana Kahama - Dar saa 1 ulikuwa unaikuta Masbine pale Oilcom inapumua toka Kahama na Dar saa 2 tu mnaingia.
Sina chuki na kampuni hii lakina usalama wa abiria wenzangu ndio unanisukuma kutaka kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo.Kwaiyo njia ya mbeya gemilang anazo yeye tu
Ndiyo.
Rungwe ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dereva lazima nae awe na akili ya kigemilang, unaweza ukawa na gemilang ila mentality ya yutong.
rungwe pia anazoNdiyo.
Sauli ana basi mbili za dar mbeya na mbeya dar na ukichelewa siku moja zote zimejaa.Sauli Kwenye Kutunza Muda wale ni habari nyingine.
Na kiujumla Watanzania Wengi wanapenda Kwenda na Muda mzuri na Ndiyo maana Sauli hawanaga biashara mbaya ya Abiria. Tatizo ni Serikali.
Sasa Korogwe ni Nyanda za Juu?We nawe mshamba tu km huyo boss wenu Sauli anayedhani Gemilang ni bus la maana sana wkt Burdan kitambo inaenda korogwe tu hapo.
Hakuna gari pale, zimeishakufarungwe pia anazo
Ila sasa hivo Imeloga Moja Benz ile DPC ipo Makambako.Sauli ana basi mbili za dar mbeya na mbeya dar na ukichelewa siku moja zote zimejaa.
Wanatunza sana muda. Morogoro dk 3 wamechomoka...
Hakuna kero uwahi kutoka stendi afu wa nyuma aje akupiteIla sasa hivo Imeloga Moja Benz ile DPC ipo Makambako.
Ila Jamaa ameiweza biashara ya Mabus.
Raia wanataka kwenda na Muda.