SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Tupe darasa jinsi ya kuwatumia hawa
Unanunua mzigo china. Kisha mchina unampa adress ya Unique Air Cargo ya huko china.

Mchina anatuma mzigo kwako kisha wao wanaleta bongo.

Pia wanatoa assitance ya manunuzi kwa wasiojua online purchases.

Kupitia wao nimeshanunua
Laptop
Simu
Na makolokolo kibao
Unaweza wacheki
 
samahani mkuu naomba nikuulize kama hutojali, mara ya mwisho natumia AliExpress ilikua mwaka septemba nafikiri, hebu nisaidie hao Speedaf wana replace posta au vipi na je AliExpress standard Shipping imekuga au.
Speedaf hawaja replace posta moja kwa moja. Ni kwamba AliExpress Standard shipping inakuwa na carrier zaidi ya mmoja. Mfano Singapore post, Netherlands Post, Speedaf n.k
Na zote zinaweza kutumika. Cha muhimu zaidi muulize Seller kuhusu carrier kabla ya kulipia
 

hii ilishanipata na mimi mkuu, hawa jamaa ni wababaishaji sana, yan wanacorfim kua mzigo umepokelewa kwa seller then wewe mhusika hujaupokea, nilikaa kama baada ya wiki hivi kuupata mzigo wangu ambao wao tayar walishacorfim umepokelewa, huku nikibishana na seller, kumbe seller hana ata tatizo, ni hao jamaa, afu nilivyopokea mzigo wakaanza kupiga simu zao oooh mzigo wako umeupokea, nikawajibu si mliupokea nyie na kucorfim kwa seller, in short hawa jamaa hawako serious
 
habari mkuu,

Naomba namba ya hawa jamaa wa SPEEDAF maana naona kuna kiparcel changu washakaa nacho wiki sasa simu hawapigi wala nini
 
sawa sawa bro, nashukuru sana, hivi huwezi kumdirect seller atumie labda courier fulani let say Netherlands post, ambayo pia nimewai itumia iko poa make wanatumia posta.
 
sawa sawa bro, nashukuru sana, hivi huwezi kumdirect seller atumie labda courier fulani let say Netherlands post, ambayo pia nimewai itumia iko poa make wanatumia posta.
Ndio inawezekana kwa baadhi ya Seller kwa AliExpress, ila wengi wao wana msimamo na Carrier ambao wamewaweka kwenye Shipping method walizozitaja, nadhan wanafanya hivyo ili kuweza ku Control namna ya kuship package nyingi kwa wakati mmoja
 
Hii kitu nimeishangaa hata mimi. Nilinunua Smartwatch mtandaoni ikafikia Mkoani. Cha kushangaza mzigo nimekabidhiwa stand ya bus. Mazingira ya kupoteza mzigo ni makubwa sana. Kwenye kukabidhiwa mzigo hata sikuombwa utambulisho wangu. Kuna kitu wanatakiwa kufanya.
 

Mmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata
 
Mungu wangu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]same case here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…