SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Mmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata View attachment 2456421
Pamoja na mapungufu yao jamaa wapo fasta Sana .
Mimi Nina mzigo nilinunua black Friday offer umepitishiwa posta tarehe 3/12/2022 hadi Leo sijaipata wakati wewe WA 11/12 umeutia mkononi mapema tu
 
toplemon nimepokea mzigo mwingine leo kwa mara ya pili na Speedaf na umetumia siku 12 net mpaka nautia mkononi

Nilinunua tarehe 24 Dec 2022 nimepokea leo tarehe 5 Jan 2023 ukihesabu hapo unapata siku 12 net

Jamaa wapo fasta ila wanazingua kwenye delivery ya mzigo imagine leo natoka zangu home tabata niko zangu njiani kwenda ofisini kwao mikocheni kuchukua mzigo ile nakaribia mikocheni naona simu inaita nikapokea kumbe ndo jamaa wa delivery ambae ana mzigo wangu ananiambia yupo tabata niende kuchukua mzigo dah ilinikata stimu maana nimepoteza muda ikabidi nigeuze nirudi tabata ndo nikakutana nae ndo nikachukua mzigo wangu
 
Screenshot_20230105-072500_Chrome.jpg
 
Wapo vizuri sana
 
Nisadien.nimeagiza saa aliexperss nimelipa juz.nimelipa kwa visacard.nimejaza tu box na namba ya simu tu.sasa nitatumiwa kwa njia ipi
 
Nisadien.nimeagiza saa aliexperss nimelipa juz.nimelipa kwa visacard.nimejaza tu box na namba ya simu tu.sasa nitatumiwa kwa njia ipi
Umejaza nchi gani? Kama umejaza Tanzania ni sawa

Kuna njia mbili ambazo wanaweza watakutumia either watumie posta au speedaf

Kwahyo wewe track mzigo wako ukifika bongo utaenda kuuchukua kwenye ofisi moja wapo kati ya posta au speedaf
 
Ndio mara yankwamza kujaribu.natizama naambiwa your order has been shipped ila track record bado ni jana tu.asante ntafatilia mtaalam
 
Ndio mara yankwamza kujaribu.natizama naambiwa your order has been shipped ila track record bado ni jana tu.asante ntafatilia mtaalam
Order ikiwa shipped tracking number inaonekana mbona jaribu kuangalia vizuri
 
Speedaf ni wapuuzi sana, niliagiza kioo cha redmi note 10 5g ndani ya siku 4 kilikuwa tz. Kesho yake tracking ikasoma Dodoma, baada ya siku 3 agent akawa amesign kuderivery mzigo. Kama siku 4 mbele mzigo ukawa signed na agent na namba yake ya simu ikaonekana. AliExpress wakanitumia delivery note ya mzigo kuwa nimeupokea wakati sijauona, nikaenda posta kuangalia kama ulifikia kwao nao hawakuuona.

Ile namba niliipigia zaidi ya wiki na haipatikani, nikawasiliana na muuzaji akanitumia namba ya makao makuu Tanzania ile namba hata haipokelewi.
Wakati nimekata tamaa nikaijaribu kuipigia ikapokelewa nikamuuliza kuhusu kupokea mzigo wangu akanielekeza niufuate nyumbani kwake na ni nje kidogo ya mji. Kiukweli alinikera huyo jamaa na hapo nyumbani kwake alikuwa na mizigo mingi ya watu wengine.
Mpe hizo namba huyo jamaa aweze kufanya mawasiliano labda atapata mzigo wake
 
2.Ukifuatilia ofisini speedaf unakuta sometimes mzigo ushasaini kua uliiuchukua ilhali haujauchukua wewe mhusika .Meanz agent wa kuleta anajisainia mwenyewe kua kafanya delivery.
Kwa experience yangu ukiwa unakabidhiwa mzigo wako ndo agent ana sign maana nimepokea mizigo na Speedaf mara mbili

Wanachozingua ni kwenye ishu ya delivery yani wanakurupuka sana na hawatoi taarifa mapema,kwa mfano kama ulijaza taarifa zako kuwa unaishi kinondoni basi utashtukia tu unapigiwa simu na jamaa wa delivery anakwambia nipo kindondoni hapa njoo uchukue mzigo wako

Sasa kama haupo kinondoni kwa muda huo ndo shida inapokuja akiondoka ata deal na watu wengine wewe itabidi usubiri sana

Mfano juzi kati hapa mzigo wangu ulifika tarehe 4 Dec,Tarehe 5 asubuhi na mapema nikatoka zangu Tabata ili niende ofisini kwao mikocheni kuchukua mzigo wangu

Wakati nakaribia kufika mikocheni naona simu inaita kumbe jamaa wa delivery ndo ananiambia yupo Tabata niende nikachukue mzigo wangu na muda huo mimi nipo mikocheni,ikabidi nigeuze fasta nimuwahi Tabata ndo akanipa mzigo

Wanachotakiwa ni kutoka taarifa mapema hata watume message tu kwamba siku flani utaletewa mzigo wako kwahyo jiandae sasa wao wanashtukiza tu
 
Back
Top Bottom