Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Ulienda ofisini kwao au walikuleteaMmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata View attachment 2456421
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulienda ofisini kwao au walikuleteaMmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata View attachment 2456421
Pamoja na mapungufu yao jamaa wapo fasta Sana .Mmmh Kiukwel me nimepata mzigo wangu tena bila usumbufu leo , niliagizia ALFA NETWORK CARD $118 nimeipata View attachment 2456421
Wapo vizuri sanatoplemon nimepokea mzigo mwingine leo kwa mara ya pili na Speedaf na umetumia siku 12 net mpaka nautia mkononi
Nilinunua tarehe 24 Dec 2022 nimepokea leo tarehe 5 Jan 2023 ukihesabu hapo unapata siku 12 net
Jamaa wapo fasta ila wanazingua kwenye delivery ya mzigo imagine leo natoka zangu home tabata niko zangu njiani kwenda ofisini kwao mikocheni kuchukua mzigo ile nakaribia mikocheni naona simu inaita nikapokea kumbe ndo jamaa wa delivery ambae ana mzigo wangu ananiambia yupo tabata niende kuchukua mzigo dah ilinikata stimu maana nimepoteza muda ikabidi nigeuze nirudi tabata ndo nikakutana nae ndo nikachukua mzigo wangu
Wamevunja rekodi, mzigo wa kwanza niliupata ndani ya siku 15 na huu wa Jana nimeupata kwa siku 12 tuWapo vizuri sana
oKilangi masanja naomba contacts za hao speedaf maana na mimi yamenikumba hayo na kila nikijaribu ku trace mzigo naambiwa mzigo ulifika ila wakanipigia cm sikupatikana kitu ambacho sio kweli. WAHUNI SANA HAWA JAMAAA.
Nenda ofisini kwao mkuu,ukisema uwapigie utasubiri sanaKilangi masanja naomba contacts za hao speedaf maana na mimi yamenikumba hayo na kila nikijaribu ku trace mzigo naambiwa mzigo ulifika ila wakanipigia cm sikupatikana kitu ambacho sio kweli. WAHUNI SANA HAWA JAMAAA.
Umejaza nchi gani? Kama umejaza Tanzania ni sawaNisadien.nimeagiza saa aliexperss nimelipa juz.nimelipa kwa visacard.nimejaza tu box na namba ya simu tu.sasa nitatumiwa kwa njia ipi
Changamoto ganiKuna item kama sita hivi nataka niagize ambayo jumla yake haizidi laki nne, bado changamoto ipo?
Ndio mara yankwamza kujaribu.natizama naambiwa your order has been shipped ila track record bado ni jana tu.asante ntafatilia mtaalamUmejaza nchi gani? Kama umejaza Tanzania ni sawa
Kuna njia mbili ambazo wanaweza watakutumia either watumie posta au speedaf
Kwahyo wewe track mzigo wako ukifika bongo utaenda kuuchukua kwenye ofisi moja wapo kati ya posta au speedaf
Order ikiwa shipped tracking number inaonekana mbona jaribu kuangalia vizuriNdio mara yankwamza kujaribu.natizama naambiwa your order has been shipped ila track record bado ni jana tu.asante ntafatilia mtaalam
Changamoto gani
Mpe hizo namba huyo jamaa aweze kufanya mawasiliano labda atapata mzigo wakeSpeedaf ni wapuuzi sana, niliagiza kioo cha redmi note 10 5g ndani ya siku 4 kilikuwa tz. Kesho yake tracking ikasoma Dodoma, baada ya siku 3 agent akawa amesign kuderivery mzigo. Kama siku 4 mbele mzigo ukawa signed na agent na namba yake ya simu ikaonekana. AliExpress wakanitumia delivery note ya mzigo kuwa nimeupokea wakati sijauona, nikaenda posta kuangalia kama ulifikia kwao nao hawakuuona.
Ile namba niliipigia zaidi ya wiki na haipatikani, nikawasiliana na muuzaji akanitumia namba ya makao makuu Tanzania ile namba hata haipokelewi.
Wakati nimekata tamaa nikaijaribu kuipigia ikapokelewa nikamuuliza kuhusu kupokea mzigo wangu akanielekeza niufuate nyumbani kwake na ni nje kidogo ya mji. Kiukweli alinikera huyo jamaa na hapo nyumbani kwake alikuwa na mizigo mingi ya watu wengine.
Achilia mbali mapungufu yao madogo.. hawa jamaa wako vizuri sana.Wamevunja rekodi, mzigo wa kwanza niliupata ndani ya siku 15 na huu wa Jana nimeupata kwa siku 12 tu
Kwa experience yangu ukiwa unakabidhiwa mzigo wako ndo agent ana sign maana nimepokea mizigo na Speedaf mara mbili2.Ukifuatilia ofisini speedaf unakuta sometimes mzigo ushasaini kua uliiuchukua ilhali haujauchukua wewe mhusika .Meanz agent wa kuleta anajisainia mwenyewe kua kafanya delivery.