Wako vyema sana. Hai jamaa..
Ila kuna kaparcel naona kamefika bongo. Nilipompigia jamaa wa speedaf akaniambia huo mzigo umepitia posta.
Embu nisaidie mkuu naupataje happo posta?
Nashauri utumie Aliexpress standard shipping...
Aliexpress mzigo haupiti tra kama DHL wanavyofanya?Nashauri utumie Aliexpress standard shipping...
Aliexpress mzigo haupiti tra kama DHL wanavyofanya?
Tofauti na hio je? Maana shipping cost za hio kidogo zimechangamka
Tofauti na DHL ni nini?Utakuwa unapita maana kwenye tracking huwa kuna stage inaonesha upo TZ customs...
Tofauti yake na DHL ni nini?Utakuwa unapita maana kwenye tracking huwa kuna stage inaonesha upo TZ customs...
Tofauti na DHL ni nini?
Kusafirisha?Gharama za DHL ni kubwa mno...
Kusafirisha?
Eg kitu Cha 3KMbona kama utofauti ni mdogo sana...
Posta mzigo unatumia muda mrefu zaidi
Eg kitu Cha 3K
Usafiri cainiao ambao walishirikiana na speedaf unakuta 90tzs
Yanwen 980tzs
AliExpress standard shipping 3K usafiri
Hi mizigo inakuwa ya namna ganiHalafu sasa kuna mizigo mingine utasukumiwa ofisi za TRA waliopo hapo hapo nao watakucharge...
Hi mizigo inakuwa ya namna gani
Me kipindi mizigo inakuja posta ilikuwa naambiwa nilipie 2350tzs
Speedaf ikawa nafuu nalipaga elf moja Tena mizigo ya free shipping ilikuwa inawahi balaa na cainiao ,, kwa hio kwa sasa tuchague AliExpress standard shipping
Hapo sijajua ila kama tracking number zako hazianzi na TZ hapo kuna uwezekano mkubwa mzigo wako ukapita posta hapo ndo hua kuna msala, mi niliagiza mizigo miwili, siku moja, mmoja ulikuja na SpeedAf na mwingine Posta, ilikua tar 30/10/2023 tar 17 mwezi wa 11 nilipata wa speedAf ila wa posta hadi leo tar 29/Dec/23 sijapata na ulishaingia Dar kitambo sana,Wako vyema sana. Hai jamaa..
Ila kuna kaparcel naona kamefika bongo. Nilipompigia jamaa wa speedaf akaniambia huo mzigo umepitia posta.
Embu nisaidie mkuu naupataje happo posta?
Mkuu huo maizo wako wa posta ulitumia shipping method ipi na ilichukua muda gani mpaka kuupata.Nimeona wakicharge nguo, electronics...unataja thamani ya mzigo wanakupa gharama za kodi...
Hiyo ni kwa parcel ndogo ndogo zile...
Juzi kati hapa nimetoka kuchajiwa 5900TZS, ilikuwa ni mzigo wa electronics, bahati nzuri walipousogeza TRA, yule mama sijui kwa nini alinisamehe baada ya kumtajia bei ya manunuzi (nahisi wana kiwango wakiona bei wanakuchaji labda wazoefu zaidi wanaweza weka sawa hapa), lakini kuna jamaa alikuwa na nguo suti 2 pale, nilimuacha anajiandaa kuzilipia...
Speedaf hizi hand parcels nyingi huwa hazina extra charges tofauti na ile uliyolipia aliexpress...
Wao kwa electronics huwa wanacharge kama 2000 tu hivi kama malipo ya ziada...
Kwanza hata kwa kuanzia sijui yaani ni week ya tatu upo bongo. Ila hakuna cha simu wala taarifa yeyote.Hapo sijajua ila kama tracking number zako hazianzi na TZ hapo kuna uwezekano mkubwa mzigo wako ukapita posta hapo ndo hua kuna msala, mi niliagiza mizigo miwili, siku moja, mmoja ulikuja na SpeedAf na mwingine Posta, ilikua tar 30/10/2023 tar 17 mwezi wa 11 nilipata wa speedAf ila wa posta hadi leo tar 29/Dec/23 sijapata na ulishaingia Dar kitambo sana,
Posta ni janga mkuu.
Mkuu huo maizo wako wa posta ulitumia shipping method ipi na ilichukua muda gani mpaka kuupata.
Na uliagiza kipindi gani.