Ndio hapo sasa ....watujuzeNafikiri zinapimwa sperms,ila sasa ambacho sikijui hizo sperms kwa muda huo zinapatikanaje au ndo unapigishwa punyeto?
Hospital hawatibu Chango mkuuu ...wangekua wanatibu , wangejua pia kuna kitu kinaitwa mchango.Hizo dawa za michango ni za mahospitalini au za kienyeji alizozitumia?
Ngoja tusubiri majibuNdio hapo sasa ....watujuze
Mkuu unapatikana wapi?Hospital hawatibu Chango mkuuu ...wangekua wanatibu , wangejua pia kuna kitu kinaitwa mchango.
Thats why its layman.Unaandika kilayman sana bila hata medical sense in your lines.
Mkuu hapo ni brancoo tupu,ukihitaji mbegu njoo pm siri mhm.Wasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
Kimakazi nipo Dar mkuu.Mkuu unapatikana wapi?
Sio kwa mujibu nenda nae upime nae mbona RCH clinic hakunaga foleniMiezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Mkuu ni poa kuanza kuangalia swala lako kitaalam. Ila hamjafikisha hata mwaka tangu muoane. Usistress sio muda mrefu kiasi cha kuanza kupata mashaka.Wasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
Umeandika kitu ambacho mdau kama hajapanick zaidi atakuelewa, yani inawezekana bint alikuwa anajiachia bila kinga kwa raha zake ila anaogopa mimba tu, daaah! basi sawaMkuu ni poa kuanza kuangalia swala lako kitaalam. Ila hamjafikisha hata mwaka tangu muoane. Usistress sio muda mrefu kiasi cha kuanza kupata mashaka.
Kumbuka wanawake wengi Hua wanatumia Kinga za uzazi kabla ya kuolewa ili kuepuka watoto kabla ya muda mubashara. Hii inachangia kuchelewesha wao kupata ujauzito. Ila in time itakua poa.
Naomba contact zako mkuuKimakazi nipo Dar mkuu.
Unaishi wapi?fedha unayo ?sikushauri uchukue ushauri humu ndani....utapotezwa!Wasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
Jf ni kwa "matured only", not for under 18. Humu kuna kila aina ya ushauri, mzuri na mbaya. Muhimu ni kuchanganya na zako mkuu, jf inakupa solution au pa kuanziaUnaishi wapi?fedha unayo ?sikushauri uchukue ushauri humu ndani....utapotezwa!
My Friend tatizo la infertility hakuna kipimo kimoja unacho weza fanya kuhitimisha kwamba mimi au yeye yupo Ok. Ukikutana na daktari ukatoa historia yako vizuri ni rahisi kujua sababu inayo weza kuwa imepelekea.Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
Kama Miezi 12 haijapita tangu muoane usijipe stressMy Friend tatizo la infertility hakuna kipimo kimoja unacho weza fanya kuhitimisha kwamba mimi au yeye yupo Ok. Ukikutana na daktari ukatoa historia yako vizuri ni rahisi kujua sababu inayo weza kuwa imepelekea.
Hivyo hata majibu yako ya sperm analysis hayakupi 100% kwamba huna tatizo
Kuna aina tatu za ugumba.
1.primary infertility; hawa hawajawahi kupata mtoto kabisa licha ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kwa kipindi cha mwaka mzima.
2. Secondary infertility; walisha wahi kupata mtoto lakini wamejaribu tena kwa kipindi cha miezi 12 bila mafanikio.
3.Pregnancy wastage: mimba inatungwa lakini inatoka mapema.
40% ya infertility sababu ni wanaume, 40%/ sababu n wanawake.
20% sababu ni wote wawili pamoja.
Chanzo kwa wanawake.
INFECTIONS( maambukizi) inachangia kiasi kikubwa. Magonjwa ya ngono kama kaswende, Clamidia, kisonono, TB,.
Endometriosis
Tatizo la homoni kwenye pituitary ( hyper prolactinemia) Adrenal disorders na Ovarian disorders.
Surgery, radiotherapy
Uterine disorders , smoking & alcohol.
Kwa mwanaume napo
Infection ( STDs), TB , mumps,Homoni, genetic , Joto kali, Lishe, Kisukari , upasuaji ni miongoni mwa sababu.
Ultrasound pekee na Sperm analysis haiwezi kupa majibu kwa vyote hivyo.
Hivyo maelezo zaidi kwenye tatizo lenu yanahitajika.
Rejea post yangu iliyopita.
Jukwaa limevamiwa na vilaza kibao!Jf ni kwa "matured only", not for under 18. Humu kuna kila aina ya ushauri, mzuri na mbaya. Muhimu ni kuchanganya na zako mkuu, jf inakupa solution au pa kuanzia