Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Upo fiti mkuu hebu Pima na kwa make pia halafu jaribu kurundika sperms ungoje simu ya yai yaani tarehe za hatari kwa mwanamke
Ulimwachia kikpmbe cha kahawa waweza pata mapacha
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
Mkuu hapo ni brancoo tupu,ukihitaji mbegu njoo pm siri mhm.
 
Kama wote mpo fresh na ashiki mimba! Bas jaribu kushriki nae kipind yupo period! Baadhi ya wanawake ovulation day zao znkuaga siku ambazo wapo P.
 
1. mmeishi pamoja kwa mda gani na tendo la ndoa mnafanya mara ngapi kwa juma. ( kama ni chini ya mwaka mmoja endelea tu kuwajibika)
2. mnapendana na wote mnapata hamu ya tendo la ndoa?
3. Kuna mmoja wenu anafanya kazi inayomlazimu awe mbali na mwenzake kwa muda? kazi za masafa marefu.
4. Kati yenu kuna mmoja alisha wahi kupata mtoto tofauti na huyu mnae jaribu sasa?

Kwa mke.
Umri wake??
1. Alivunja ungo ktk umri gani? Mzunguko wake wa hedhi upoje kwa mwezi? cyle length? unabadilikabadilika? Hedhi anapata kwa siku ngapi?
2. Je, amewahi kutumia njia za uzazi wa mpango? Lini , njia gani?
3. Amewahi kushika mimba? amewahi kutoa mimba?
4. Amewahi kufanyiwa upasuaji wa namna yyt kwenye uzazi?
5 . Ana tatizo lolote la kiafya la mda mrefu?
6. Anakunywa pombe? Sigara ?
7. Ana mabadiliko yyt au sifa za kiume? Kama vile sauti nzito, vinyweleo vingi, Ndevu nk?
8. Historia ya ugumba ktk familia yao?.
9. Alisha wahi pata magonjwa ya zinaa?

Mume.
1. Uume wako unaweza kusimama vizuri na kutoa shahawa kwa mshindo vzr?? maana zikiwa na initial kinetic energy ndogo haziwezi kusafiri vzr.
2. Umewahi kupata magonjwa ya zinaa?
3. Umewahi kupigwa mionzi kama vile X ray maeneo ya kiuno.?
4. Balehe na mabadiliko ya kiume yalikuaje? miaka? Sauti? matiti?
5 una magojwa yyt ya mda mrefu kma vle kisukari? Pressure?
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
Mkuu ni poa kuanza kuangalia swala lako kitaalam. Ila hamjafikisha hata mwaka tangu muoane. Usistress sio muda mrefu kiasi cha kuanza kupata mashaka.
Kumbuka wanawake wengi Hua wanatumia Kinga za uzazi kabla ya kuolewa ili kuepuka watoto kabla ya muda mubashara. Hii inachangia kuchelewesha wao kupata ujauzito. Ila in time itakua poa.
 
Umeandika kitu ambacho mdau kama hajapanick zaidi atakuelewa, yani inawezekana bint alikuwa anajiachia bila kinga kwa raha zake ila anaogopa mimba tu, daaah! basi sawa
 
1.wife unakutana nae siku zinapokuwa za hatari? Au mnafanya bila kujali hicho?
2.huwa anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa?
3.Je ana amniotic za kutoka kwny uke wake zinazorahisisha wazungu kwenda marekani?

Mkuu yapo mengi lakini nataka kujua kwanza hayo machache.
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
Unaishi wapi?fedha unayo ?sikushauri uchukue ushauri humu ndani....utapotezwa!
 
Miezi minne iliyopita alichekiwa kwa 'utrasound' wakasema yupo okay. Kwa mujibu wa maelezo ya wife
My Friend tatizo la infertility hakuna kipimo kimoja unacho weza fanya kuhitimisha kwamba mimi au yeye yupo Ok. Ukikutana na daktari ukatoa historia yako vizuri ni rahisi kujua sababu inayo weza kuwa imepelekea.
Hivyo hata majibu yako ya sperm analysis hayakupi 100% kwamba huna tatizo

Kuna aina tatu za ugumba.
1.primary infertility; hawa hawajawahi kupata mtoto kabisa licha ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kwa kipindi cha mwaka mzima.
2. Secondary infertility; walisha wahi kupata mtoto lakini wamejaribu tena kwa kipindi cha miezi 12 bila mafanikio.
3.Pregnancy wastage: mimba inatungwa lakini inatoka mapema.

40% ya infertility sababu ni wanaume, 40%/ sababu n wanawake.
20% sababu ni wote wawili pamoja.

Chanzo kwa wanawake.
INFECTIONS( maambukizi) inachangia kiasi kikubwa. Magonjwa ya ngono kama kaswende, Clamidia, kisonono, TB,.
Endometriosis
Tatizo la homoni kwenye pituitary ( hyper prolactinemia) Adrenal disorders na Ovarian disorders.
Surgery, radiotherapy
Uterine disorders , smoking & alcohol.

Kwa mwanaume napo
Infection ( STDs), TB , mumps,Homoni, genetic , Joto kali, Lishe, Kisukari , upasuaji ni miongoni mwa sababu.

Ultrasound pekee na Sperm analysis haiwezi kupa majibu kwa vyote hivyo.
Hivyo maelezo zaidi kwenye tatizo lenu yanahitajika.

Rejea post yangu iliyopita.
 
Kama Miezi 12 haijapita tangu muoane usijipe stress
 
Back
Top Bottom