Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Hii methali huwa siielewi hebu nifafanulie boss. Nasubiri nanasi lakini bado hamu yangu ya ile kitu ipo
Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu methali ya "baniani mbaya kiatu chake dawa"

Baniani ni aina ya wahindi wafanyabiashara, kama walivyo singasinga, ambao wamekuwa in contact na East Africa kwa miaka mingi sana wakifanya biashara ikiwemo ya viatu (makubazi).

Walikuwa ni wakorofi sana, wanashurutisha watu kwenye kazi, hivyo waafrika hawakuwapenda kwa ubaya wao huo (ukorofi). Lkn kwavile waafrika hawakuwa na teknolojia ya viatu, walikuwa wanatembea pekupeku, walipata taabu saana na shuruba za miba na mengineyo yanayoambatana na kutembea peku.

Hivyo basi, viatu walivyokuwa wanauziwa na baniani ilikuwa ni dawa ya miiba na madhira ya kutembea peku.

Ndipo ikapatikana hiyo methali "baniani mbaya kiatu chake dawa"
 
AISEE KAKA UMENIKUMBUSHA KUNA MAKALA FLANI NILIISOMA, KUHUSU HUYO PHOTOGRAPHER ALIYEPIGA HIYO PICHA. AT LAST INASEMEKANA HUYO MTOTO ALILIWA NA HUYO TAI
Yeah jamaa akapata tuzo lakini naye akaja kujimaliza kwa sumu
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji106][emoji115]learned the true origin
 
Daah shukrani sana boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…