Kati ya picha zote zilizorushwa humu, hii ndo inayohuzunisha zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya picha zote zilizorushwa humu, hii ndo inayohuzunisha zaidi.
Mtoto kama huyu akitokea akawa Rais, ni lazima awe kama Kabila au Nkurunziza.
View attachment 551659Boss mutoto
InapendezaNiko viwanjani
AISEE KAKA UMENIKUMBUSHA KUNA MAKALA FLANI NILIISOMA, KUHUSU HUYO PHOTOGRAPHER ALIYEPIGA HIYO PICHA. AT LAST INASEMEKANA HUYO MTOTO ALILIWA NA HUYO TAI
Kwa ufafanuzi zaidi kuhusu methali ya "baniani mbaya kiatu chake dawa"Hii methali huwa siielewi hebu nifafanulie boss. Nasubiri nanasi lakini bado hamu yangu ya ile kitu ipo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji106][emoji115]learned the true originKwa ufafanuzi zaidi kuhusu methali ya "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Baniani ni aina ya wahindi wafanyabiashara, kama walivyo singasinga, ambao wamekuwa in contact na East Africa kwa miaka mingi sana wakifanya biashara ikiwemo ya viatu (makubazi).
Walikuwa ni wakorofi sana, wanashurutisha watu kwenye kazi, hivyo waafrika hawakuwapenda kwa ubaya wao huo (ukorofi). Lkn kwavile waafrika hawakuwa na teknolojia ya viatu, walikuwa wanatembea pekupeku, walipata taabu saana na shuruba za miba na mengineyo yanayoambatana na kutembea peku.
Hivyo basi, viatu walivyokuwa wanauziwa na baniani ilikuwa ni dawa ya miiba na madhira ya kutembea peku.
Ndipo ikapatikana hiyo methali "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Daah shukrani sana bossKwa ufafanuzi zaidi kuhusu methali ya "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Baniani ni aina ya wahindi wafanyabiashara, kama walivyo singasinga, ambao wamekuwa in contact na East Africa kwa miaka mingi sana wakifanya biashara ikiwemo ya viatu (makubazi).
Walikuwa ni wakorofi sana, wanashurutisha watu kwenye kazi, hivyo waafrika hawakuwapenda kwa ubaya wao huo (ukorofi). Lkn kwavile waafrika hawakuwa na teknolojia ya viatu, walikuwa wanatembea pekupeku, walipata taabu saana na shuruba za miba na mengineyo yanayoambatana na kutembea peku.
Hivyo basi, viatu walivyokuwa wanauziwa na baniani ilikuwa ni dawa ya miiba na madhira ya kutembea peku.
Ndipo ikapatikana hiyo methali "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Pleasure brother[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji106][emoji115]learned the true origin
You're welcome boss ladyDaah shukrani sana boss
Daah eti boss ladyYou're welcome boss lady
Hupendi?