Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

.
Screenshot_20210609-182849.jpg
 
Baba yake huyo. Malizaneni kifamilia
Ndg !
Tunashukuru mtoto wetu amepatikana
Iko hivi ;
Mtekaji alimchukua mtoto Jana kisha akampeleka kwenye familia ambapo alishawahi kupanga huko nyuma .

Kwa kuwa ametoka pale muda mrefu aliwaaminisha kuwa yule ni mtoto wake ,hivyo alimuacha kwamba anarudi baada ya muda mfupi lakini hakurudi ingawa aliendelea kuwasiliana nao kuwa wasiwe na mashaka.

Mama aliyeachiwa mtoto leo asbh ikambidi atoe taarifa Kwa mwenyekiti wa mtaa baada ya yeye naye kupata mashaka .

Hivyo muda wote tunawasiliana na mtekaji hakuwa na mtoto .

Baada ya kuona figisu za polisi familia iliamua kukubaliana na masharti ya mtekaji na kisha akatoa ramani mahali mtoto alipo.

......mtoto amepatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom