Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Ananikumbusha JKT. Tukaletewa buti mwisho namba 10. Mimi size yangu ikawa imekosekana, namba 11. Baadaye tena wakaleta namba 12. Nikapewa namba 12, afande akisema "kulia geuka", nageuka halafu naanza kupepesuka. Siku moja afande ikabidi aje akague aone kwenye miguu yangu kuna nini; akagundua kuwa nina buti namba 12! Akasema ndiyo maana unapepesuka kila wakati
 
Hahahaha[emoji23]
 
Huyu macho yake yanao pia uwezo wa kuona visivyoweza kuonekana na macho ya wakubwa. God must be very beaultiful
God must be very beaultiful[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…