Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tahadhari kubwa ni kwa huyo aliyekaa kwenye kiti.,..., kuna wakati huwa nachapa viboko, na ni viboko kabisa siyo mchezo
Ananikumbusha JKT. Tukaletewa buti mwisho namba 10. Mimi size yangu ikawa imekosekana, namba 11. Baadaye tena wakaleta namba 12. Nikapewa namba 12, afande akisema "kulia geuka", nageuka halafu naanza kupepesuka. Siku moja afande ikabidi aje akague aone kwenye miguu yangu kuna nini; akagundua kuwa nina buti namba 12! Akasema ndiyo maana unapepesuka kila wakati
Hahahaha[emoji23]Ananikumbusha JKT. Tukaletewa buti mwisho namba 10. Mimi size yangu ikawa imekosekana, namba 11. Baadaye tena wakaleta namba 12. Nikapewa namba 12, afande akisema "kulia geuka", nageuka halafu naanza kupepesuka. Siku moja afande ikabidi aje akague aone kwenye miguu yangu kuna nini; akagundua kuwa nina buti namba 12! Akasema ndiyo maana unapepesuka kila wakati
Huyu macho yake yanao pia uwezo wa kuona visivyoweza kuonekana na macho ya wakubwa. God must be very beaultiful
Dah such a lovely kids...angalia jinsi wana afya nzuri. Kweli Mungu hakupi vyote see how beatfull they are...Watoto kama hawa kweli Mungu anijalie uwezo kwanini nisiwa saidie? They are such lovely kids..
Innocent little mortalsDah such a lovely kids...angalia jinsi wana afya nzuri. Kweli Mungu hakupi vyote see how beatfull they are...Watoto kama hawa kweli Mungu anijalie uwezo kwanini nisiwa saidie? They are such lovely kids..