Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Huyu dogo naamini hawa wazungu watakua wamemnunulia baiskeli ya ukweliukweli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dogo naamini hawa wazungu watakua wamemnunulia baiskeli ya ukweliukweli..
Daaa!
Nazipenda sana logics zakoVery Sad, kwa hao watoto wawili.
Mmoja aliyezikwa na mtoto mwenzake, na mwingine anayekaribia kifo bila msaada wowote huku ndege akisubiri afe ili amle.
Chanzo cha taabu zao ni Vita, Njaa, Kutelekezwa, Migogoro ya kijamii, Ukabila, Udini, Madaraka nk.
It is Very Sad indeed.
Asante sana mkuu, mshana jr, mimi binafsi nimejifunza mambo mengi sana toka kwako.Nazipenda sana logics zako
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji123] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Asante sana mkuu, mshana jr, mimi binafsi nimejifunza mambo mengi sana toka kwako.
Na nakufuatilia kujifunza mambo mengine.
Mimi ni msomi na nakukubali sana.
Ume elimika sana, na una elimu kubwa ya Kiuhalisia na ya Kiroho.
Wengi wanashindwa kukuelewa kwakuwa wana ufahamu mdogo katika ulimwengu wa Kiroho na Kiuhalisia.
Asante kwa kutujuza mengi na ya ukweli mtupu.
Sisi wasomi tunakuelewa sana, iko siku tutakutafuta tukuone Live na kukupongeza kwa Hekima kubwa uliyo nayo na unayotupatia.
Kazi yako ni njema na uiendeleze, na tunakupa baraka zote.
Mshana jr wewe ni Profesa halisi wa elimu ya Kiuhalisia na Kiroho.
A, PHD Graduate in Science Beyond Material.
Elimu ambayo ni watu wachache sana hapa duniani wameihitimu,
Katika Dunia hii hawazidi watu Mia moja.
Mimi najua na ninauhakika na ninachosema.
Amina.
Amina
mimi Che mittoga.
mpiga picha aliepiga hii picha nasikia alijiua kwa uchungu alipofika ulaya kuiuza