Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

.
IMG-20190904-WA0237.jpeg
 
Asante sana mkuu, mshana jr, mimi binafsi nimejifunza mambo mengi sana toka kwako.
Na nakufuatilia kujifunza mambo mengine.
Mimi ni msomi na nakukubali sana.
Ume elimika sana, na una elimu kubwa ya Kiuhalisia na ya Kiroho.
Wengi wanashindwa kukuelewa kwakuwa wana ufahamu mdogo katika ulimwengu wa Kiroho na Kiuhalisia.
Asante kwa kutujuza mengi na ya ukweli mtupu.
Sisi wasomi tunakuelewa sana, iko siku tutakutafuta tukuone Live na kukupongeza kwa Hekima kubwa uliyo nayo na unayotupatia.
Kazi yako ni njema na uiendeleze, na tunakupa baraka zote.
Mshana jr wewe ni Profesa halisi wa elimu ya Kiuhalisia na Kiroho.
A, PHD Graduate in Science Beyond Material.
Elimu ambayo ni watu wachache sana hapa duniani wameihitimu,
Katika Dunia hii hawazidi watu Mia moja.
Mimi najua na ninauhakika na ninachosema.

Amina.

Amina
mimi Che mittoga.
Shure mkuu, Mshana Jr hana noma na watu. Mm mwenyewe nafaidi sana ufahamu wake. Mungu ambariki sana.
 
Back
Top Bottom