Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Screenshots_2023-05-28-15-43-01.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 important life lessons to teach your son:

1. Life isn't fair
2. Regret will kill you
3. Respect is earned
4. Life is hard, deal with it
5. No one is coming to save you
6. A firm handshake is the best intro
7. Pain is inevitable, but suffering is optional

What else?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuwanunulia watoto wako vitu vyote ambavyo hujawahi kuwa navyo, unapaswa kuwafundisha mambo yote ambayo hukufundishwa kamwe. Nyenzo huchakaa lakini Maarifa hubaki
FB_IMG_1686885816981.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto Shamsudini Jamadu Msemo (13), aliyemwagiwa mafuta ya taa na kisha kuchomwa moto na mama yake mzazi, amefariki dunia leo Jumanne Oktoba 3, 2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) alikokuwa akipatiwa matibabu.

Agosti 31, mwaka huu mtoto huyo ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Reli Juu, wilayani Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, alidaiwa kufanyiwa ukatili huo baada ya kuchukua fedha za mama yake na kwenda kununua viazi vya chips na kisha kupika na kula wakati alipohisi njaa.

Inadaiwa kuwa, baada ya mama yake kubaini mwanaye huyo amechukua fedha zake, alimfunga mikono na miguu kwenye mti ambao upo nyumbani kwao na kisha kumuagiza mtoto wa jirani kwenda kununua mafuta ya taa na ndipo alipotenda tukio hilo la kikatili.

Ikiwa zimapita siku 34 tangu mtoto huyo afanyiwe ukatili huo na mama yake mzazi, mpaka sasa hajulikani alipo huku Jeshi la Polisi likiendelea kumsaka bila mafanikio.

Hata hivyo, baada ya mtoto huyo kufikishwa katika Hospitali ya KCMC kwa ajili ya matibabu, wataalam wa majanga ya moto hospitalini hapo walibaini kuwa mwili wa mtoto huyo uliungua kwa asimilia 65 kutokana na majeraha ya moto aliyopata.
FB_IMG_1696397819926.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi na walezi wenzangu tuwe making na wale tunaowaacha na watoto Nyumbani......Mtoto hayuko salama Tena si kwa MJOMBA,SHANGAZI,BABU,BIBI,BINAMU, HOUSE BOY WALA HOUSE GIRL .........TUWEKE NAMNA YA KUFUATILIA MAHUSIANO YA WATOTO WETU NA WOTE WANAOISHI MAJUMBANI KWETU......LAKINI MWISHO KABISA TUMUOMBE MUNGU SANA ATUJALIE SALAMA KWA WATOTO WETU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi na walezi wenzangu tuwe making na wale tunaowaacha na watoto Nyumbani......Mtoto hayuko salama Tena si kwa MJOMBA,SHANGAZI,BABU,BIBI,BINAMU, HOUSE BOY WALA HOUSE GIRL .........TUWEKE NAMNA YA KUFUATILIA MAHUSIANO YA WATOTO WETU NA WOTE WANAOISHI MAJUMBANI KWETU......LAKINI MWISHO KABISA TUMUOMBE MUNGU SANA ATUJALIE SALAMA KWA WATOTO WETU..View attachment 2774615

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli mambo siyo kabisa wanangu hata kwenda kusalimia kwa ndugu siwaruhusu wakiwa wenyewe
 
Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy, mkazi wa Tegeta-Msufini jijini Dar amepigwa pingu akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha wa kumsulubu mtoto wa kiume wa mdogo wake, mwenye umri wa miaka 6( jina linahifadhiwa). Inadaiwa kuwa Muddy alimchukua mtoto huyo kutoka kwa wazazi wake wanaoishi mkoani Mtwara kwa lengo la kuja naye Dar kwa ajili ya kumsomesha lakini kinyume na lengo hilo, jamaa huyo alipomfikisha Dar ilidaiwa alianza kumfanyia ukatili mtoto huyo wa dozi ya vipigo. Majirani walisema kuwa jamaa huyo amekuwa akimshushia kipigo mtoto huyo mara kwa mara kwa kutumia bomba la plastiki na waya wa umeme huku adhabu kama kumnyanyua miguu juu kichwa chini, kumnyanyua juu kwa kumshika masikio na kushinda muda mrefu bila kula vikiwa ni sehemu ya maisha ya mtoto huyo.
FB_IMG_1701534804600.jpg

View attachment 2831603

Sent using Jamii Forums mobile app
hii ya zamani kiasi
 
Back
Top Bottom