Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsant Eee Binti unono huo tunaonaga kwenye mahafla na karamu tuu!!
Babu Wandugu Masanja hebu njoo huku hii ndio unaniuliza sana kila siku..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mwanangu
Imefanana lakini umebadilisha hapo ulipoweka nyama kwenye grill
Hata hivyo wacha niijaribu hii kama nitaweza kuipika, inanitowa udenda kwa hivyo viungo ulivyoweka,
Nyama ya mbuzi nzuri lakini zaidi nyama ya ng'ombe ndiyo inayotumiwa sana
Kama wewe mtu wa pwani na unawajuwa Washihiri wao ndio huipika sana kwenye harusi zao
Enjoy.......patamu sana hapa lol
Yeah ndio hiyo basi jaribu hiyo unapewa katika harusi za washihiri inafanana kabisa na hiyo manjonjo tu kuzidiana...
Wewe tumia nyama upendayo tu...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Aisee hii tamu haswaa weekend hiyoooo ngoja nishapata cha kutengeneza
Ahsante
Nikiipika nitakujuulisha
Hii kitu tam sana..na hivi hiyo nyama ni lainii..hizo spices zitapunguza kijiharufu..full kumumunyaa..thanks sweetpie
mmh!nimeshiba kwa kusoma tu thread yako tu,
BAK, The Boss BHULULU King'asti Mrs Kharusy Angel Nylon Chocs MziziMkavu utafiti mimi49 Swts amu watu8 measkron life is Short afro arabica Nyani Ngabu na wengine
Hahahahahaah unoo ndio huo jipikiee kwa raha zako
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Bibie leo ndo leo na maandalizi nshaanza. Karibu ukaribie kwenye busati, kigoda, kiti, kochi, au hata sofa. Jokofu lina kila aina ya vinywaji na vitafunio vyepesi, hivyo jisaidie mwenyewe.
Muda si mrefu chops zitaanza kuchomwa. Natumia chomeo la mkaa leo maana hali ya hewa imetoa ushirikiano murua kabisa. Chomeo la gesi huwa silipendi kihivyo.
Wewe njoo tu na tumbo na njaa yake. Mengine yote niachie miye.