Spicy barbecued goat meat

Spicy barbecued goat meat

Babu Wandugu Masanja hebu njoo huku hii ndio unaniuliza sana kila siku..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu
Imefanana lakini umebadilisha hapo ulipoweka nyama kwenye grill
Hata hivyo wacha niijaribu hii kama nitaweza kuipika, inanitowa udenda kwa hivyo viungo ulivyoweka,

Nyama ya mbuzi nzuri lakini zaidi nyama ya ng'ombe ndiyo inayotumiwa sana
Kama wewe mtu wa pwani na unawajuwa Washihiri wao ndio huipika sana kwenye harusi zao

Yeah ndio hiyo basi jaribu hiyo unapewa katika harusi za washihiri inafanana kabisa na hiyo manjonjo tu kuzidiana...

Wewe tumia nyama upendayo tu...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii kitu tam sana..na hivi hiyo nyama ni lainii..hizo spices zitapunguza kijiharufu..full kumumunyaa..thanks sweetpie
 
U welcome shostito

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahahahaah unoo ndio huo jipikiee kwa raha zako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Bibie leo ndo leo na maandalizi nshaanza. Karibu ukaribie kwenye busati, kigoda, kiti, kochi, au hata sofa. Jokofu lina kila aina ya vinywaji na vitafunio vyepesi, hivyo jisaidie mwenyewe.

Muda si mrefu chops zitaanza kuchomwa. Natumia chomeo la mkaa leo maana hali ya hewa imetoa ushirikiano murua kabisa. Chomeo la gesi huwa silipendi kihivyo.

Wewe njoo tu na tumbo na njaa yake. Mengine yote niachie miye.
 
Tangu majuzi nachunguliaga jikoni naona kumenuna tuuu...kumbe mambo yameshawekwa mezani walaji washashiba...nimechelewaje?? Imebaki kidogo chef farkhina huko?

Hahahaha vipo telee nimekubakshia ati habibty.....
 
Last edited by a moderator:
Bibie leo ndo leo na maandalizi nshaanza. Karibu ukaribie kwenye busati, kigoda, kiti, kochi, au hata sofa. Jokofu lina kila aina ya vinywaji na vitafunio vyepesi, hivyo jisaidie mwenyewe.

Muda si mrefu chops zitaanza kuchomwa. Natumia chomeo la mkaa leo maana hali ya hewa imetoa ushirikiano murua kabisa. Chomeo la gesi huwa silipendi kihivyo.

Wewe njoo tu na tumbo na njaa yake. Mengine yote niachie miye.

Eeeh basi kuchoma kwa mkaa inazidi kuwa tamu....basi nlifkiri mambo yote ilikua jana...

Nakuja mwenzangu weee wacha ntafune big J niite njaa....usisahau kutengeza salad kwa pembeni maana wengine kama mbuzi lol😉😉😉
 
fakhina naomba nifundishe jinsi ya kupika keki na temperature kiasi gani na muda gani kwenye oven?mana kila nikipika inakua ngumu sana nashindwa hata kuila,please help me mamy!
 
Back
Top Bottom