Tatizo wewe Ulitaka awe Ukawa?Pascal Mayala huwa aeleweki yuko upande gani .,sasa atatetewa na upande gani..unafiki ni kama upepo unavuma kusikoeleweka.
where to switch and abide.. you too have funny.
Kwani swali lake tayari limeshajibiwa au?Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Labla anayo majibu kwa swali la Mayalla mganga njaaNdugai naona hana kazi kwa sasa.
Kuna sehemu yeyote (mimi) nimesema hivyo? Mbona unaweweseka wewe? Wapi nimesema asihojiwe?Kwa hiyo Kuna watu maalum wa kulikosoa bunge? Akilituhu Makonda ahojiewe akilikosoa Paskali Mayalla asihojiwe?
ndo hapoKwani hilo nalo bunge au kijwe cha kahawa
Sasa wanataka mseme ulongo/kuisifia serikalisisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Saiv naona inahelekea kuwa vioja mahakamani.Kwani hilo nalo bunge au kijwe cha kahawa