Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Pascal Mayala huwa aeleweki yuko upande gani .,sasa atatetewa na upande gani..unafiki ni kama upepo unavuma kusikoeleweka.

where to switch and abide.. you too have funny.
Tatizo wewe Ulitaka awe Ukawa?
Paschal Mayalla ni Mwanahabari huru...
Hafungamani na Upande wowote na Huwa analiweka wazi hilo....Tatizo Inategemea na Uelewa wa Kichwa chako...spoon Feeding!
Yeye kila Upande Kukosoa na Kusifia pale inapostahili....Tatizo wewe Umezoea 1+1=2
 
yani hii nchi.....ukiongea muhimili wowote kwa kuonesha unaukosoa au unauchimba chimba sana unachunguzwa.......mwisho hao jamaa wataambiwa wapeleke vyeti vya kuzaliwa vyao mpka bibi zao
 
Paskal umeingia 18 za mgogo wa idodomya now wach the next move.....
1. Misuko sumo
2. KuZuiwa kufanya Nazi za uandishi kwa miezi sita mpaka Tisa
3. Kuandika front page radhi dhidi ya bunge
4. Kupeleka cheti cha uraia wako uhamiaji
 
Nilikua sijapata fursa ya kuona hii nakala, Asante Mheshimiwa spika kwa kuipa umuhimu wake hii nakala nafikiri kama inawania views za youtube hii nakala ingempiku ali kiba na wimbo wake wa seduce me kwa kuwa na viewers wengi.

Nafikiri Ingekua tunaisome hii nakala kwenye istagram ya Pascal Mayalla , Hata Mange kimambi angeisoma number kwenye suala la wafuasi.
 
Back
Top Bottom