kuna mwingine kamshauri awe anavaa helmentiOhooo naona mambo ni motooo
kule kwenye uzi wake naona kuna mmoja kamuambia aandaye vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wake ikiwezekana na sehemu walipozikwa
Aah wapi, changa la macho!Huko Bungeni sio issue sana ila ujue huu ndio mwanzo wa kuanza kumfuatilia.
Haha yaani kama na wewe ni mwanahabari unayejielewa basi fani ya uandishi wa habari imevamiwasisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
kuna mwingine kamshauri awe anavaa helmenti
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...
Ndio kajibu tayari hivyo.Spika hajajibu swali.
Bunge linajipendekeza?
Spika hajajibu swali.
Bunge linajipendekeza?
Ushindwe na ulegee milele yote!Paschal mayala wanataka mtisha tu maana mwandishi pekee anayetumia taluuma yake bila woga alikuwa mayalaa mala kibao amekuwa akimuliza maswali mh rais pia hapa JF tumekuwa tukimuona akija na mijadala mingi tu.kuhusu mustakabali wa taifa letu katika mambo mbali mbali kwakua amejipambanua anatumia jina lake halisi imekuwa tatizo
Uyu ndungai tatizo sana watanzani tuombe auogue tena afe na kufa kawa kihele hele sana
ha ha haaa.. Noma sana kama sehemu flan hivi kuna nyoka kwenye miti watu huvaa chungu!Hahhhahaha ukiwaga jf Huwezi kukosa raha
sasa hiyo helmet iwe kama Terminator ya anod shoziniga
Kama hivyo kukimbia deni kungekuwa ni kulipa deni.Ndio kajibu tayari hivyo.